Tumia mtaji huu, ufanye shughuli hii, utengeneze kiasi hiki cha faida

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Habari wana JF,

Leo tupeane maarifa! Ni kwa wale tu wafanya biashara au watu wenye experience na biashara kutoka kwa ndugu ama marafiki! Haijalishi ni biashara kubwa ama ndogo, weka hapa ujuzi watu wajinyakulie maarifa ili kupata pesa ya ziada ya kulipia kodi ya namba ya NIDA au ya hewa wanayoivuta baada tu ya Tin NUMBER kutolewa

Mfano:
Tafuta mtaji wa 400,000
Nunua magunia 10 ya mkaa Tanga ukayauze Dar, gunia moja @30,000 na nauli ya kenta 100,000
Ili utengeneze faida ya 250,000 baada ya mauzo ya magunia yote
Uzia maeneo ya mbagala utatoboa kirahisi

N.B: Huo ni mfano wa uwasilishaji taarifa!

Tusaidiane kwa hili wakuu!

images%20(1).jpg
 
Huo mtaji kwa mtu bachela au toa ufafanuzi vizuri
 
Sawa mkuu siyo rahis unavyo fikiria
Ukisoma hilo wazo wa mkaa unaweza kusema ni rahisi kweli kweli. Ingia sasa. Utakutana na mengineo mengi mpaka. Mara mkaa huu una changa sana haufai, mara mkaa hauwaki vizuri, mara kodi ya bwana misitu. Mara soko limeshuka bei..
 
Motivation speaker 😆😆😆

Umeongea kirahisi sana kumbuka mkaa ni bidhaa ambayo hairuhusiwi na njiani unakutana na vikwazo vingi mpaka kufika Dar ni wazo zuri lkn hujaongelea na changamoto zake
 
Ukisoma hilo wazo wa mkaa unaweza kusema ni rahisi kweli kweli. Ingia sasa. Utakutana na mengineo mengi mpaka. Mara mkaa huu una changa sana haufai, mara mkaa hauwaki vizuri, mara kodi ya bwana misitu. Mara soko limeshuka bei..
Achana na visingizio vya kupigwa na madalali. Tuanze na kibali cha kusafirisha mkaa
 
ndoo ya samaki 70,000 feri. ndoo inaweza kuwa na samaki 120 wa elfu moja na elfu mbili ukishakuwakaanga, ukitoa gharama za utengenezaji unabaki na faida ya 40,000 hadi 60,000
kuna mama alinifundisha, akanielezea hivi, sema changamoto zipo zipo, mwanzo mgumu, kupata eneo la kukaangia na kuuzia

ningefanya, tatizo uslay queen mwingi
 
Sasa ile laki nikakuongezea na laki nyingine sii tunagawa a faida hapo mrembo. Achana na uslay queen hauna faida
 
ndoo ya samaki 70,000 feri. ndoo inaweza kuwa na samaki 120 wa elfu moja na elfu mbili ukishakuwakaanga, ukitoa gharama za utengenezaji unabaki na faida ya 40,000 hadi 60,000
kuna mama alinifundisha, akanielezea hivi, sema changamoto zipo zipo, mwanzo mgumu, kupata eneo la kukaangia na kuuzia

ningefanya, tatizo uslay queen mwingi
Njaa haijakuuma wewe
 
Na hapo elf40 unaipata wakiuzika wote
 
ndoo ya samaki 70,000 feri. ndoo inaweza kuwa na samaki 120 wa elfu moja na elfu mbili ukishakuwakaanga, ukitoa gharama za utengenezaji unabaki na faida ya 40,000 hadi 60,000
kuna mama alinifundisha, akanielezea hivi, sema changamoto zipo zipo, mwanzo mgumu, kupata eneo la kukaangia na kuuzia

ningefanya, tatizo uslay queen mwingi
kweli akili umeikalia na huo msambwanda

hapo kazi kula nauli za wanaume na pesa ya kusukia
 
Nimependa uzi ngoja niwape mchongo
Mim nipo kahama mjini kwenye kiwanda Cha ulis Cha kukamua mafuta ya alizet mtaji ambayo tunao ni eneo na mashine za kukamua na kuchuja Zina thamani pesa nyingi kidogo kazi kubwa sas ni kutoa uduma kwa wadau na wakulima yani hivi mtulima ana leta mbegu zake kwetu Kisha sisi tuna mkamulia na kuyachuja pamoja na package garama zote hizi tuna mfanyia kwa 100 kwa kilo pia akitaka kutuuzia sisi alizet tunanunua 700-800 pia akikamua akitaka kutuuzia mashudu pia tunanunua 250 pia akitaka kutuuzia mafuta pia tunanua dumu 80000.

Mchango wangu kwa wadau na vijana wezangu naimani nimeeleweka hata Kama mwandiko wangu ni mbaya nazana kwa machache tumeelewana ishu kubwa mim naiyofanya uku na ndugu zangu ni kununua mazao na kayapa samani Kama

alizet kupata mafuta na mashudu
Karanga kupata penalty butter
Maindi kupata unga

Kwa ufupi sisi tunafanya biashara ya mazao mbalimbali tuna mashine 3 ambayo ni kusaga na kukoboa maindi

Kukamua alizet na kuchuja

Kusaga karanga na kukamua kupata mafuta ya karanga na butter

Sas unaweza kuwa sehemu ya biashara endapo unakuwa na mtaji wako mfano una Kama upo dar mwanza Moro mbeny nk isiwe singida na dodoma unaweza kwenda vijijini ma mtaji wako uko ukanunua mazao yako tuliyo weka juu hapo Kisha ukareta kwetu kwa lengo la kuuza au kusaga kukamua na kukufungia ukauze monyewe au una weza akawa mataji wako tukakuuzia mafuta ukuauzi ww monyewe vyote sisi tunaweza kukusaidia kijana mwetu ili tuweze kulipa Kodi mbalimbali naombe niishie apo kwa leo
 
Yaani biashara hizi mbili , moja mbao nyekundu na mkaa ww kamilisha vibali vyoooote lkn ukiwa unasafilisha zingatia haya kwanza usitume mzigo nenda na mzigo wako jambo la pili wakati unasafilisha hakikisha una fungu pembeni la kuhonga njiani , kusafilisha mkaa sio kesi kwa sababu kuna misitu ipo kwa ajili ya kukata mkaa na vibali unapta bila shida shida ipo unapopeleka
 
Nimependa uzi ngoja niwape mchongo
Mim nipo kahama mjini kwenye kiwanda Cha ulis Cha kukamua mafuta ya alizet mtaji ambayo tunao ni eneo na mashine za kukamua na kuchuja Zina thamani pesa nyingi kidogo kazi kubwa sas ni kutoa uduma kwa wadau na wakulima yani hivi mtulima ana leta mbegu zake kwetu Kisha sisi tuna mkamulia na kuyachuja pamoja na package garama zote hizi tuna mfanyia kwa 100 kwa kilo pia akitaka kutuuzia sisi alizet tunanunua 700-800 pia akikamua akitaka kutuuzia mashudu pia tunanunua 250 pia akitaka kutuuzia mafuta pia tunanua dumu 80000.

Mchango wangu kwa wadau na vijana wezangu naimani nimeeleweka hata Kama mwandiko wangu ni mbaya nazana kwa machache tumeelewana ishu kubwa mim naiyofanya uku na ndugu zangu ni kununua mazao na kayapa samani Kama

alizet kupata mafuta na mashudu
Karanga kupata penalty butter
Maindi kupata unga

Kwa ufupi sisi tunafanya biashara ya mazao mbalimbali tuna mashine 3 ambayo ni kusaga na kukoboa maindi

Kukamua alizet na kuchuja

Kusaga karanga na kukamua kupata mafuta ya karanga na butter

Sas unaweza kuwa sehemu ya biashara endapo unakuwa na mtaji wako mfano una Kama upo dar mwanza Moro mbeny nk isiwe singida na dodoma unaweza kwenda vijijini ma mtaji wako uko ukanunua mazao yako tuliyo weka juu hapo Kisha ukareta kwetu kwa lengo la kuuza au kusaga kukamua na kukufungia ukauze monyewe au una weza akawa mataji wako tukakuuzia mafuta ukuauzi ww monyewe vyote sisi tunaweza kukusaidia kijana mwetu ili tuweze kulipa Kodi mbalimbali naombe niishie apo kwa leo
Karanga kilogramme Moja mnanunua kwa shingapi...?
 
kaka nyie mashudu mnayauza kwa bei gani
 
Back
Top Bottom