Tumheshimu Rais wetu Kikwete

bikira mimi

Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
24
Reaction score
11
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu

Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.

Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji kazi wake.

Zipo njia nyingi za kumfikishia ujumbe but not going beyond na kumwita dhaifu!
 
Majina gani? we ndo mchochezi, unataka atukanwe sasa.
 

Aodoe DINI Serikalini... Itatumaliza!!!
 
Kifaransa Noblesse Oblige. Kiswahili Ukubwa gunia la lawama.

Ndiyo maana Kiranga kwa kujua anajiheshimu hataki hata ukatibu kata.

Akitaka kuheshimiwa ajiheshimu.

Watu ambao hawana uwezo kama yeye waliojiheshimu hawajataka kuji expose kwa kutaka ofisi za umma.

Waswahili wamesema "Mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba".

Kutaka urais wa nchi ni kutaka nasaba na kila mwananchi, vivyo msiba wa kila mwananchi ni msiba wako.

Kwa hivyo, si kazi kukuta rais akipewa majina lukuki, hususan kama wananchi wake wana vijimambo na mambo lukuki.

Kukataa hili ni kama nyumba kukataa kiwanja ilichojengwa juu yake!
 
Bikira wewe! Njoo nikufundishe mamabo ya ukubwa basi.
 
Umesema kweli mkuu.Mara nyingi hata kama mtu kakosea (hata kama sio rais) njia bora ya kumkosoa ni kwa kutumia busara. Hapo ndipo anapoweza kuiona hoja yako na hata kuitafakari na ikibidi kuchukua hatua.Lakini mtu unapotumia lugha za matusi, dhihaka na kejeli; si tu kwamba unakuwa unajidhalilisha, kumdhalilisha kiongozi wako hivyo kulidhalilisha taifa lako lakini pia unasababisha hoja yako ambayo inakuwa imejificha ndani ya lugha chafu uliyoitumia kuyeyuka kama barafu.
 
Tumwombee kwa mungu rais wetu apate hekima ya kutuongoza vyema
 


Hafai ni mdini, mzinz asiyemwogopa mungu....si unaona amemweka premmy kibanga pale ofisini kwake bila hata ya aibu kwa mkewe?
 
Hajawahi kuwekwa madarakani! ILA alijiweka madarakani!
 
Wewe utumwa na R1 Nape, nenda kawaambie kuwa tupo MWANZA busy na kuwakomboa watanzania... hatushughuliki na MAJUNGU, mambo ya kawaida kama haya...
 

nawapenda sana watu ambao sio wanafiki na wasiotafuna maneno. A spade should be called a spade!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…