Ngowi Junior
Senior Member
- Aug 4, 2014
- 102
- 38
Muundie mishe akae sero kama miezi kadhaa atatoka na akili kumkichwa
Tumewahi kukubaliana namna hii mkuu but kuna sister na anti yetu mmoja kila akitua selo wanamtoa.
Kabla hajachomwa moto ni vizuri mkafanya hiv:
mpelekeni kwa wataalam wa saikolojia ili wamchunguze na kumpa ushauri unaofaa.
mkiona hakuna mabadiliko, msiwe na huruma naye, hakikisheni mnamuweka ndani (jela) kwa muda wa kutosha.
mwelezen huyo dada yenu kuwa anachokifanya kumtoa jela kila mara hamsaidii bali anamjengea mazingira hatarishi ya kuuwawa. tambuen kama nyiny mtamuonea huruma lkn ipo jamii ambayo haitamhurumia.
mchague akatulie jela sehemu ambayo atakuwa hai huku akirekebishwa au mumchekelee na kumuona akifanya fujo mitaan mkisubiria achomwe moto.
huyo dogo mwacheni kwanza life impige ban mwenyewe atapata akili, mara nyingi madogo wenye uhakika wa kula milo mitatu na kulala bila masimango huwa wana matatizo sana. Alivyo haribu ccp militakiwa muachane nae kabisa mpaka pale atakapopata akili na kuja na wazo lake mwenyewe la anataka nini na tena akija msiwe wepesi wa kutoa support mpaka pale mtakaporidhika na ikiwezekana muulizeni yeye ana nini katika hicho kitu anachofanya.
Msiogope hawezi kufa kwa shida kama mkimtosa maana mbona wengi tu wameishi maisha ya dhiki wakatoka (shida ni kipimo cha akili)
wahenga walikua sio wajinga kusema "penye mitu hapana wajenzi" nafasi ambazo watu wanalilia na kusubutu hadi kuhonga fedha yeye kazichezea! Kama ajapigwa kiberiti huyo kwa wizi basi ataweza olewa kwa kupenda mtelemko pumbav kabisa. Mimi huwa natoa kipigo tu kwa watu kama hao.
tafuta kituo cha polisi karibu peleka ale kiboko week nzima
Tumewahi kukubaliana namna hii mkuu but kuna sister na anti yetu mmoja kila akitua selo wanamtoa.
Kabla hajachomwa moto ni vizuri mkafanya hiv:
mpelekeni kwa wataalam wa saikolojia ili wamchunguze na kumpa ushauri unaofaa.
mkiona hakuna mabadiliko, msiwe na huruma naye, hakikisheni mnamuweka ndani (jela) kwa muda wa kutosha.
mwelezen huyo dada yenu kuwa anachokifanya kumtoa jela kila mara hamsaidii bali anamjengea mazingira hatarishi ya kuuwawa. tambuen kama nyiny mtamuonea huruma lkn ipo jamii ambayo haitamhurumia.
mchague akatulie jela sehemu ambayo atakuwa hai huku akirekebishwa au mumchekelee na kumuona akifanya fujo mitaan mkisubiria achomwe moto.
Undugu wa damu ungekuwa unakatizwa nadhani ningekuwa wa kwanza kuomba huduma hiyo. Wadau huyu dogo nahisi ni adhabu tuliyoachiwa na marehemu wazazi (sijui tulikosa nini).. Naomba mjaribu kunisaidia mawazo aisee.
Huyu dogo alipomaliza form 4 (kwa mbinde) hakufanya vizuri sana akajiunga na jeshi la polisi, hakumaliza akatimuliwa huko ccp. Kuna mzee mmoja rafiki wa marehemu mzee akatufanyia mpango dogo akaingia jwtz, dogo akaenda akakimbia depo aftr several weeks. Akaja home, akatafutiwa kazi tanesco akafanya kazi siku mbili. Tukashauriana kwamba aende veta nako akafukuzwa vile vile kwa vurugu. Hakuna ambacho hatujajaribu kwa huyu kiumbe na kuna bro kawahi kumuweka asimamie mradi mmoja hivi kaharibu.. Akiachwa hivi hivi anakuwa ni kero tupu, hapo hom kashauza kila chenye maana. Akija kwa kaka zake ndio ugomvi kila siku cheni, simu na vipochi vya shemeji zake haviponi. Kesi za kutapeli kila siku. Tumewaza hadi tunakaribia kukufuru waungwana.