Tumezidi ushamba

İnashangaza sana, yani wameandaa maandamano ya kuilaumu serikali ya South Africa hali ya kuwa haihusiki na hili sakata la ndege yetu time will tell!

Walioandamana wanadhani na huko muhimili wa serikali umejichimbia zaidi kama ule wa kutokea magogoni.
 


Kusimamia kile unachokiamini jambo muhimu sana kwenye maisha, iwe kazini au binafsi lakini inaleta amani na utulivu wa akili.

Binafsi mtu au watu wakifanya jambo baya ntakosoa, hao hao wakifanya ipasavyo sitakua mchoyo wa kupongeza. Siwezi kuchukua upande nikasimamia maamuzi ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…