Mpaka 2015, CCM itakuwa imeshazikwa, hongera chadema
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji
jumapili ya tarehe 18/12/2011 kumefanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa kata ya magulilwa kwenye halmashauri ya iringa vijijini, na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:
Chadema - kura 475
ccm - kura 290
ni hayo tu wandugu.
Umekosa vya maana kupost?
OTIS
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji
Kama hii ni crap nyie mmetokea wapi humu jamani? kama GB unajua matokeo ya vijijini yakiwekwa humu hapatakalika kwanini usiweke tukajionea magamba mnavyopeta? ili ujue post hii ni muhimu kuliko mlivyoi-rate jifunze gharama ya demokrasia..Umekosa vya maana kupost?
OTIS
Kama uliyoandika yanatoka moyoni haya tuambie ni gharika ipi hiyo ilitokea igunga, au uliletewa matokeo hukupenda kufuatilia mwenyewe?? Kama ulifuatilia sikufundishi nini cha kusema lakini nafsi itakusuta tu hata ukiipamba vipi magambaccm wakileta kata walizoshinda jf itajaa, jiamini tu ndg yangu au ulikuwa hutegemei ushnd nn? Subri gharika la igunga likifika kg kwa kafulila, ndio utakitambua chama cha magamba.
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji
ccm wakileta kata walizoshinda jf itajaa, jiamini tu ndg yangu au ulikuwa hutegemei ushnd nn? Subri gharika la igunga likifika kg kwa kafulila, ndio utakitambua chama cha magamba.
CCM No 1 kwa wizi.....Dua la kuku halimpati mwewe. Hivi mnafikiri ni rahisi ki hivyo. Oteni ndoto za mchana wa saa nane tu!! CCM GARI KUBWA. Ndio maana tunasema na nyie mnajua kuwa CCM Ni No 1.
Thanks and Regards,
Kada wa CCM.