Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,748
- 50,168
Jumapili ya tarehe 18/12/2011 kumefanyika uchaguzi kwenye Kijiji cha Magulilwa Kata ya Magulilwa kwenye Halmashauri ya Iringa Vijijini, na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:
CHADEMA - Kura 475
CCM - Kura 290
Ni hayo tu wandugu.
Mkuu, hapo penye black, lakini wewe si umechangia, au?Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji
kwa hiyo wewe huna maana kwa kuwa umechangia mada isiyokuwa na mashiko!pole sana kwa kujitusi!ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu jf patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji
wewe ni gamba original ndo mana inakuuma.pole sanaha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu jf patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji
Cha maana kwangu ni pale tunapoona sasa tumeanza kupata ushindi mkubwa kama huo huko vijijini. kwa taarifa yako hata kule tulikoshindwa tumeshindwa kwa tofauti ndogo ya kura!!Umekosa vya maana kupost?
OTIS
Umekosa vya maana kupost?
OTIS
mizizi ikichachika ndio mtaweza kuigaragaza chichiem?Tunaimalicha chini kwanza ukifika uchaguzi mkuu mizizi imeshashika!!mwaka wakuwagaragaza CCM
unahemewa kichogoni