CCM inafanya kazi...haihitaji kujitangaza! Tukisema ni kutangaza kila sehemu CCM inaposhinda server ya JF itajam!!
ok..ok...ok... CDM wanashinda then wanafukuzana!! Hii akili au matope???
Kimbuga kuwa mstaarabu, kichakani ni wapi tena ita kijijini.Hee CDM imefika hadi huko vichakani!
Hata MUNGU kawachoka,
CCM inafanya kazi...haihitaji kujitangaza! Tukisema ni kutangaza kila sehemu CCM inaposhinda server ya JF itajam!!
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.
Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!
Nawasilisha!!

OK upupu wa habari ni kwa sababu hufahamu vijiji hivi viko wapimimi naona habari yenyewe haina mashiko, ni upupu mtupu; kwanza hivi ni vijiji vya wapi? Tanzania kweli?