"tumewachoka bwana" salaam gani hizi

"tumewachoka bwana" salaam gani hizi

Shoo Gap

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
261
Reaction score
101
I don't have interest with your party anymore. Jerry-Silaa-akisalimiana-na-wananchi-Nzovwe-Jijini-Mbeya.jpg
 
Si ndo huyu njegele aliyetuita watu wa mbeya nyani,!!? au ni mwingine.....!? ntarudi
 
mbona kama sielewi...content na heading zina-relate vipi??
 
mbona kama sielewi...content na heading zina-relate vipi??

Mwangalie huyo kijana anayempa Jerry Slaa mkono, ni kama hana time nae kabisa. Slaa ana-smile lakini kijana kanuna mno. Picha zinasema, tatizo linaweza kuwa macho yako hayaoni vema.
 
Back
Top Bottom