Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Yesnakumbuka mafuta yakiisha tulikuwa tunatrngeneza kuwa bodi la gari LA kuchezea.
Ni kweliMafuta yakiisha kopo tunaligeuza bati tunaezekea nyumba.
Yaani sijui kama yatarudi tena. [HASHTAG]#Sikuhazigandi[/HASHTAG]Enzi za Kipindi Cha Malenga Wetu - Mzee Andanenga
Hadithi za Kusisimua Akajase Mbamba- Mama na Mwana
Na Kasuku piaMiaka ilee wanasaidizana na Kimbo
Miaka ilee wanasaidizana na Kimbo
Kumbukumbu mujarabu
Wala mchawi wetu sio wa kumtafuta kwa ramli,sote twamjua,Ccm ndiye mchawi wetu sema sisi wenyewe bado hatujawa serious kupambana nae.Asee tz hii jamani nani katuroga