Tumetumbukiaje shimoni na tunajiokoaje kama Taifa?

Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe, wameamua Magufuli anawatosha kwa miaka 5 mingine kwenye box la kura.

Hongera Mgufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
Sema maamuzi ya wenyenchi yaheshimiwe si ya wananchi, CCM imefanya ina hati miliki ya hii nchi. Sisi tuna amini dua ya mwenye kudhulumiwa inasikilizwa hata kama itachukua wakati, basi wale waliyodhulumiwa muombeni Mungu ili haki ipatikane, kwani baada ya dhiki ni faraja.
 
Acha uongo? Wapinzani mmepoteana baada ya kuwa pingapinga! Kajipangeni upya, Bashiru aliwaambia "tunapambana na upinzani dhaifu haijawahi kutokea" magufuli alivyokua anapiga kampeni kuwa na connection wananchi tulimuelewa! Afu mda mwingi mlichokuwa mnaongea kwenye kampeni pumba tupu, wala ilani yenu hamkuinadi, sasa mlitaka nani awachague?
Kuanzia Mshindi mwenyewe hadi huyo Bashiru wote wanaona aibu kwa haya yaliyofanyika

Walitoa maelekezo kwa watendaji wao wa chini, wao wakafanya kwa kupitiliza hadi mtoto mdogo anajua kilichofanyika

Hamna pa kuificha hii fedhehe! Wenye akili ndani ya ccm yenyewe wanaona aibu! Kuna wanaojuta kukubali kushiriki kwenye kampeni

Wanaona ni afadhali wangekaa kimya tu ili wasiwe sehemu ya huu utoto uliofanyika
 
Sema maamuzi ya wenyenchi yaheshimiwe si ya wananchi, CCM imefanya ina hati miliki ya hii nchi. Sisi tuna amini dua ya mwenye kudhulumiwa inasikilizwa hata kama itachukua wakati, basi wale waliyodhulumiwa muombeni Mungu ili haki ipatikane, kwani baada ya dhiki ni faraja.
Tumia paracetamol then tuendelee kuijenga nchi.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Ukweli udhibitika kwa kutumia ushahidi usiotiliwa shaka. Hili nadhani Mkuu unalijua barabara. Kwa tuhuma hizi, Mkuu, bila ushahidi usiotiliwa shaka wengi wetu tunaweza kukushuku kuwa unataka kuleta mfarakano nchi, Mwenyezi Mungu aepushe mbali kadhia hiyo.

Mkuu, sasa jitetee.
Ajitetee nini sasa wakati kwa mara ya kwanza makaratasi ya kuoigia kura mpaka vile vitabu vinazagaa mtaani kama magazeti...angalia kwa makini hilo bag lina nini ndani na huyo msimamizi yupo chini ya ulinzi...za ndani zinasema alikuja kuachiliwa baadae
20201031_091339.jpg
 
Hili tope walilojipaka CCM katika uchaguzi huu watalisafishaje?

Hii mipango ya wizi wa kura nadhani ilifanywa kwa haraka katikati ya kampeni baada ya kupima kina cha maji na kuona kina ni kirefu.

Matokeo yake ndiyo haya kura zinakamatwa mitaani, na nje na ndani ya vituo vya kupigia kura.

Tanzania tumegeuka tumekuwa kichekesho cha dunia.

Tumejivua nguo wenyewe huku tukijiangalia kwenye kioo.

Ile "intellect," iliyokuwapo ndani ya enzi za "chama," haikurithishwa chini kwa vijana?

Nimejifunza kutia kicheko mahali pa kunipa majonzi.

Vinginevyo ningekuwa na huzuni ya kudumu.

Hivi kweli ndani ya CCM katika viongozi wakuu waliopita kweli hawaoni kama tunalo tatizo linalohitaji kurekebishwa?

Nina rafiki zangu CCM toka matokeo ya uchaguzi tukikutana wanashindwa kunitazama machoni.

Nahisi kama vile wamefedheheka wanaona aibu.

Kura zinastaajabisha.View attachment 1616336

Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka
 
Wasiachie madaraka haraka kiasi hicho, unaweza achia madaraka halafu mkakiacha chama mikononi mwa wasaliti.
 
Ajitetee nini sasa wakati kwa mara ya kwanza makaratasi ya kuoigia kura mpaka vile vitabu vinazagaa mtaani kama magazeti...angalia kwa makini hilo bag lina nini ndani na huyo msimamizi yupo chini ya ulinzi...za ndani zinasema alikuja kuachiliwa baadaeView attachment 1616382
Kwa picha hii tu tuamini maelezo yako!? Je. Ikija kugundulika, hiyo jamaa aliandaliwa na wabaya wetu na kuvishw tushti fake ya tume ili kuichafua tume na hayo makaratasi je kama yalikuw feki vile vile, utasemaje hapo!?

Picha hii hadhibitishi ukweli wowote wa tuhuma zako bali inaibua maswali lukuki yasiyo na majibu!!
 
Hahahhaha wabaya wenu eee....na wakapewa karatasi za kupigia kura yaani kutoka tume. Zikatikiwa ccm zote yaani na mhuri wa nec au siyo. Acheni danganya toto.
 
Acha uongo? Wapinzani mmepoteana baada ya kuwa pingapinga! Kajipangeni upya, Bashiru aliwaambia "tunapambana na upinzani dhaifu haijawahi kutokea" magufuli alivyokua anapiga kampeni kuwa na connection wananchi tulimuelewa! Afu mda mwingi mlichokuwa mnaongea kwenye kampeni pumba tupu, wala ilani yenu hamkuinadi, sasa mlitaka nani awachague?
Upinzani dhaifu mnapambana nao kwa kutumia vyombo vya serikali?

Nilijua mngeushinda majukwaani tu au hata msingepiga kampeni. Huu upizani dhaifu umefanya kampeni siku 60-7 nyie mmefanya kampeni miaka 5.
 
Kwa picha hii tu tuamini maelezo yako!? Je. Ikija kugundulika, hiyo jamaa aliandaliwa na wabaya wetu na kuvishw tushti fake ya tume ili kuichafua tume na hayo makaratasi je kama yalikuw feki vile vile, utasemaje hapo!?

Picha hii hadhibitishi ukweli wowote wa tuhuma zako bali inaibua maswali lukuki yasiyo na majibu!!
Mmejua kuitia aibu TZ
 
Hahahhaha wabaya wenu eee....na wakapewa karatasi za kupigia kura yaani kutoka tume. Zikatikiwa ccm zote yaani na mhuri wa nec au siyo. Acheni danganya toto.
Mihuri inachongwa sana kila kona nchini ama nje ya nchi, Karatasi za weza kutengenezwa kwenye staitionary yoyote yenye nia ovu nchini ama nje ya nchi, tisheti za weza kutengenezwa na wajasilianari wasiowaaminifu nchini ama nje ya nchi!!! Huyo mtu anaweza kuwa amerubuniwa vile vile na wabaya wetu ili afanye uhalifu huo!

Nadhani hapa tupo pamoja mkuu.
 
Ukweli udhibitika kwa kutumia ushahidi usiotiliwa shaka. Hili nadhani Mkuu unalijua barabara. Kwa tuhuma hizi, Mkuu, bila ushahidi usiotiliwa shaka wengi wetu tunaweza kukushuku kuwa unataka kuleta mfarakano nchi, Mwenyezi Mungu aepushe mbali kadhia hiyo.

Mkuu, sasa jitetee.
Jamaa amefedheheka kwa sababu ushauri binafsi wa sheikh Ponda haukufuatwa.
 
Mihuri inachongwa sana kila kona nchini ama nje ya nchi, Karatasi za weza kutengenezwa kwenye staitionary yoyote yenye nia ovu nchini ama nje ya nchi, tisheti za weza kutengenezwa na wajasilianari wasiowaaminifu nchini ama nje ya nchi!!! Huyo mtu anaweza kuwa amerubuniwa vile vile na wabaya wetu ili afanye uhalifu huo!

Nadhani hapa tupo pamoja mkuu.
Kwamba template za tume ni kama karatasi za A4 siyo hahahah au hukupiga kura wewe?
 
Kuna msukuma mmoja ukimkuta anavyotetea ujambazi wa Ccm unabaki kujiuliza huyu mtu ana ubongo kichwani au ubongo wake umeoza
Me familia yangu yote na wengine degree holders wapo hivyo,tena bora wangekuwa wanatoa hoja hats za uongo bac wanabishana tu Kama watoto wadogo wanagombania ubwabwa
 
Back
Top Bottom