Tumetoka mbali

Tumetoka mbali

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
396158_177073905758915_1592782382_n.jpg
 
Hahahahaaa teh teh,umenikumbusha mbali sana,lol!
 
Ghwe kanyapini,huo ni mtungi wa maji ya kunywa!
 
nakumbuka nyumbani tulikuwa na mitungi miwili, mmoja ulikuwa unapooza maji kiasi mwingine ulikuwa ni balaa kwa kupooza maji,ukinywa maji yake unahisi koo kusuzika kweli.Mambo ya asili raha sana
 
Mtungi nona maji yanakuwa ya bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiivu
 
Halafu maji ya mtungi yanakaharufu fulani kanakoleta faraja ya pekee unapoyanywa. Yalikuwa matamu sana
 
Back
Top Bottom