Tumetoka mbali

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Wadau ebu Leo tujikumbushe usafari zamani aisee tumetokaka mbali sana he hii mnaweza kuikumbuka watu wa Arusha na Mbeya hapo Segera.

37977771_688161464855745_1859425147849539584_o.jpg
 
Hilo bus linaitwa kwacha ofisi zake zilikuwa rems hotel pale mnazi mmoja
 
Ni pale lilipo jengo la benki karibuni na taa za njiapamda Mnazimmoja. Mmiliki wa Kwacha ni mtu wa Iringa mzee Salehe Masasi.
Walikuwa wawili MTU na mdogo ake pia kulikuwa na basi linaitwa siri yako maeneo ayo ayo
 
Back
Top Bottom