nimekaa kama dk 4 sijaelewa hii ya 2013 sasa nimeelewaKwa kweli mabadiliko ya teknolojia yanakua kwa kasi kubwa.
nilianza pata picha mbaya hahaha
Kwani ulihisi inamaanisha nini dadangu?nimekaa kama dk 4 sijaelewa hii ya 2013 sasa nimeelewa
Umeelewa nini??nimekaa kama dk 4 sijaelewa hii ya 2013 sasa nimeelewa
hizo head phone ni kubwa mpaka zinatengeneza maoumbo ya ajabu kwenye usoUmeelewa nini??
Maumbo ya ajabu ndio yapi??hizo head phone ni kubwa mpaka zinatengeneza maoumbo ya ajabu kwenye uso
babu bibi kasema ukale ndizi za kuchoma na pakadoMaumbo ya ajabu ndio yapi??
Nahisi itakua imefanana na yako mchagaaaaa wangu!!hizo head phone ni kubwa mpaka zinatengeneza maoumbo ya ajabu kwenye uso