Tumetoka Mbali Sana!!!!!!!!!!!!!!!!!1

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Hii ndo ilikuwa simu yangu ya kwanza enzi hizo!

 

Attachments

  • 132639_02_7_20130803020543.jpg
    9.8 KB · Views: 687
Mkuu, kuna mbali zaidi kipimdi Mobitel wameanza kutoa huduma kulikuwa na simu za Motorola Micro Tac Duo na Pro zote analugue. Kuongeza salio ilikuwa mpaka uende ukafoleni mtaa wa Lugoda katika ofisi zao namalipo yalikuwa kwa Dola na kila siku dola moja ni lazima ikatwe. Hakika tumetoka mbali.
 
Na kama hujaiweka kiunoni basi ww sy mjanja.
 
Du kweli ilikuwa inaitwa twanga pepeta bei 120000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…