wengine wanawapa zilipendwa wao vibuti bila sababu ya msingi,mwenzio anakuwa kajiwekea malengo lukuki lakini anapewa kibuti wakati huo alifanya mambo meeengi ktk hilo penzi ndo maana anajisemesha vimisemo vya namna hiyo..lakini dua la kuku halimpati mwewe atajisemesha weeeeee wenzie wanaendelea kula bata.
Mi akisema nimetoka mbali,namwambia sasa hapa ndo gari limeshaisha mafuta.
hah!hah!hah!alisukume na nan?atasukuma menyewe,tena akinitibua nalipga na tairi misumari.
tafuteni misemo mipya hyo tayar isha expire
Nisamehe tu, mie faru jike
Sikumbuki nimekunyoa naniliyu lini. Sipendi misitu mie, hebu kam zis wei fo ze niidful.
Hivi tukipataga matatizo hatukumbukani eh? Poa tu. Sijakumiss wala nini.