kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,611
Tatizo lipo kwenye utayarishaji wa timu na mchakato wa kuqualify kushiriki....Wakimbiaji wengi wa Tanzania hawajatayarishwa kufuzu kukimbia Olympics maana wengi wapo below standards ya kushiriki Olympics..kuthibitisha Hilo angalia hata results kwenye Kilimanjaro Marathon na NBC dodoma marathon ambazo ndio za ndani zinatambuliwa kimataifa.... pia washiriki wetu wanatakiwa kwenda nchi zingine kushiriki international marathon na mbio fupi nje... Nani anaandaa na kufinance huo mchakato mzima? Simbu na geay walifuzu ndio maana ilikuwa rahisi wao kwenda...
Check table hii ndio standard's za kushiriki
View attachment 1886136
Check table hii ndio standard's za kushiriki
View attachment 1886136