connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,775
- 3,842
Sisi tunatengeza majungu ,fitina na manabiiMiaka 64 ya Uhuru. Tanganyika tumeshindwa kutengeneza Cherehani?
Unataka nani atengeneze?!..unajua hata kufuma kikapu?!Miaka 64 ya Uhuru. Tanganyika tumeshindwa kutengeneza Cherehani?
Unazungumzia cherehani wakati hata matairi ya baiskeki na vijiti vya meno tunaagiza kutoka China?Miaka 64 ya Uhuru. Tanganyika tumeshindwa kutengeneza Cherehani?
Sawakama proffesor anakuwa chawa, unazani tunaweza tengeneza hata stick