Tumeshinda vita ya awali

Uchumi wa kati upi ambao unashindwa kuongeza mishahara kwa miaka sita unashindwa kuongeza ajira nchini na badala yake wanawaambia graduates wajiajiri? Hebu acha kuandika ujinga!!!
Kwani takwimu kuwa asilimia 100 ya watumishi wa umma waliofanya Taifa hili lifike uchumi wa kati kabla ya muda Prof. ASSAD alitoa wapi?
 
Wewe jamaa wewe....natilia mkazo tu ulichoandika hapa....
 
Ni ukichaa kumtafutia ushindi marehemu, ni kupoteza muda .... na.ni upumbavu mana bora ujinga....Ivi ni kwamba hatosahaulika??

Mnajitangazia ushindi for what??? Unampinga na kumuandama for what?? HAYUPO tena na kashakufa.

Binadamu ni mavumbumbi....
 
Nina hasira nao hao mafisi zero brain kabisa nape, wenzake wote ila milango ya kaburi inawaita Mungu yupo na wao watazika mwenzao no late ngoja hii 40 ipite
 
Well said. Kila nilipokuwa naangalia wajumbe wa UN kutoka maeneo yote duniani wakitoa salaamu kwa TZ leo kuhusu msiba wa Rais Magufuli, nimeelewa kuwa marehemu ametuachia legacy itakayodumu daima
 
Your browser is not able to display this video.
 
Umechanganyikiwa watu wale wale wapi? Unamaanisha UN.Magu alijibu hoja za wapingaji mapemaaaa kama vile alijua. Ndiyo maana wabarajatu wake mnapambana naye akiwa amelala usingizi wa milele. Chezea Jiwe weyeee
 
Yule kima Mwendazake hajaacha legacy yeyote zaidi ya kuharibu nchi yetu nzuri kiuchumi na mahusiano ya kimataifa. Legacy haigombewi, huonekana kweupe tu.

Tutamkumbuka kama murderer, dictator, mbaguzi wa kikabila na kidini, mwongo na mwizi
Kunya Pilton upunguze maumivu maana leo dunia imesimama kuomboleza. Huyo ndiyo JPM na bado mengi yanakuja subiri Vatican wanakuja na nyingine fungal kazi.Yaani mtateseka were Eee.
 
Wewe lazima utakuwa umepimwa covid19 kwa kipimo cha kichina
 
Magufuli anaendelea kuwanyoosha mabeberu na vibaraka wao hata katika umauti. Magufuli oyee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi tumeshambulia kwa sana tu wakati bado yupo mzima
Na sasa ameshakuwa mfu, nawaunga mkono wale waliokuwa ndani ya serikali au nje, sababu yule mfu alikuwa ni coward anayetumia nguvu ya dola kuwatesa na kuwapoteza wanaomkosoa
Mfu alikuwa wa akili ya kike, hawezi kujibu hoja za kukosolewa bali ni kukamata na kuua na kuwatesa wakosoaji kwa kutumia vyombo vya dola.
 
Hana legasi yoyote. Mnapoteza muda na mapovu yenu. Msilazimishe legasi
 
Mtahangaika sana lakini amekufa na hatumkumbuki.
 
Yule kima Mwendazake hajaacha legacy yeyote zaidi ya kuharibu nchi yetu nzuri kiuchumi na mahusiano ya kimataifa. Legacy haigombewi, huonekana kweupe tu.

Tutamkumbuka kama murderer, dictator, mbaguzi wa kikabila na kidini, mwongo na mwizi
Mkuu umeshapata chanjo ya corona?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Uchumi wa kati upi ambao unashindwa kuongeza mishahara kwa miaka sita unashindwa kuongeza ajira nchini na badala yake wanawaambia graduates wajiajiri? Hebu acha kuandika ujinga!!!
Tena uchumi
Wa deficit budget
Pia hesabu za chanya na hasi haelewi?
Deni limepanda anasifia
 
Reactions: BAK
Un Ni mabeberu
Sasa kwa Nini wasifiwe
Tena wadhihakiwe?
Likipanda kuna tatizo gani kama linaenda kuongeza uchumi?
Je katika EAC sisi deni letu kwakulinganisha la nani ni kubwa? Msipotoshe umama wa watanzania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…