QIDAQA
Member
- Nov 2, 2010
- 16
- 0
Iwe kweli au sio kweli hali inabaki kuwa JK tunaye for the next 5 years Insha Allah
Nini kifanyike ili huu uchakachuaji wa safari hii usijirudie tena na watu wapate haki?
We know they have good strategists wa kupanga mbinu nyingine.
This time around kwa wale wasiojua....kutangazwa kwa matokeo ya ububge na udiwani vituoni na kusubirisha ya urais mpaka HO ya NEC ilikuwa strategy yao.
How will they play it next time and how is it to be tamed ili haki itendeke?
Kinana keshatangaza matokeo wakati NEC haijamaliza (we all know what that means)
Home of great thinkers....Nini kifanyike?