Tumerudisha Ujamaa Tanzania?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,930
3,227
Dalili zinaonekana kuwa Ujamaa umerudi, japo haitangazwi

Serikali kufanya biashara..Mfano ATCL

FASTJET kunyang'anywa route

Ongezea mengine

Swali: Tanzania inafuata Sera za Kijamaa, Kibepari au nini?
 
Socialism is a Belief Socialism is a way of life, and a socialist society cannot simply come into existence. A socialist society can only be built by those who believe in, and who themselves practice, the principles of socialism. A committed member of TANU will be a socialist, and his fellow socialist – that is, his fellow believers in this political and economic system – are all those in Africa or elsewhere in the world
who fight for the rights of peasants and workers. The first duty of a TANU member, and especially of a TANU leader, is to accept these socialist principles, and to live his own life in accordance with them. In particular, a genuine TANU leader
will not live off the sweat of another man, nor commit any feudalistic or capitalistic actions. The successful implementation of .socialist objectives depends very much up the leaders, because socialism is a belief in a particular system of living, and it is difficult for leaders to promote its growth if they do not themselves accept it
 
DO NOT LET US DEPEND UPON MONEY FOR DEVELOPMENT It is stupid to rely on money as the major instrument of development when we know only too well that our country is poor. It
is equally stupid, indeed it is even more stupid, for us to imagine that
we shall rid ourselves of our poverty through foreign financial assistance rather than our own financial resources. It is stupid for two reasons. Firstly, we shall not get the money. It is true that there are countries which can, and which would like to, help us. But there is no country in the world which is prepared to give us gifts or loans, or establish industries, to the extent that we would be able to achieve all our development targets. There are many needy countries in the world. And even if
all the prosperous nations were willing to help the needy countries, the assistance would still not suffice. But in any case the prosperous nations have not accepted a responsibility to fight world poverty. Even within their own borders poverty still exists, and the rich individuals do not willingly give money to the government to help their poor fellow citizens. It is only through taxation, which people have to pay whether they want to or not, that money can be extracted from the rich in order to help the masses. Even then there would not be enough money. However heavily we taxed the citizens of Tanzania and the aliens living here, the resulting revenue would not be enough to meet the costs of the development we want. And there is no World Government which can tax the prosperous nations in order to help the poor nations; nor if one did exist could it raise enough revenue to do all that is needed in the world. But in fact, such a World Government does not exist. Such money as the rich nations offer to the poor nations is given voluntarily, either through their own goodness, or for their own benefit. All this means that it is impossible for Tanzania to obtain from overseas enough money to develop our economy.
 
Katiba inasemaje kuhusu Tanzania?
Rejea katiba kabla hujanijibu
 
Chadema you are zero namshukuru Mungu aliyekataa msipewe nchi.Mfanyakazi wa serikali au shirika la umma kwenda kazini Na kurudi anatumia gari la serekali au shirika la umma.Akitaka kutumia ndege safari za kikazi anataka kutumia ndege binafsi stupid.Anatakiwa atumie usafiri wa ndege za serikali au shirika la umma la serekali.Chadema pumbafu nyie mifisadi isiyo Na uzalendo mnataka kupiga pesa kwa ndege binafsi
 
Dalili zinaonekana kuwa Ujamaa umerudi, japo haitangazwi

Serikali kufanya biashara..Mfano ATCL

FASTJET kunyang'anywa route

Ongezea mengine

Swali: Tanzania inafuata Sera za Kijamaa, Kibepari au nini?
(2)badala ya kuteuwa Katibu mwenezi wa chama wameteuwa history teller/talkist mzee Humphrey polepole
 
Dalili zinaonekana kuwa Ujamaa umerudi, japo haitangazwi

Serikali kufanya biashara..Mfano ATCL

FASTJET kunyang'anywa route

Ongezea mengine

Swali: Tanzania inafuata Sera za Kijamaa, Kibepari au nini?
watafeli vibaya sana,
 
Tanzania huwa hatueleki kama tunaendesha nchi ki communist au ki capitalist yaani ni pumba tupu
 
Socialism is a Belief Socialism is a way of life, and a socialist society cannot simply come into existence. A socialist society can only be built by those who believe in, and who themselves practice, the principles of socialism. A committed member of TANU will be a socialist, and his fellow socialist – that is, his fellow believers in this political and economic system – are all those in Africa or elsewhere in the world
who fight for the rights of peasants and workers. The first duty of a TANU member, and especially of a TANU leader, is to accept these socialist principles, and to live his own life in accordance with them. In particular, a genuine TANU leader
will not live off the sweat of another man, nor commit any feudalistic or capitalistic actions. The successful implementation of .socialist objectives depends very much up the leaders, because socialism is a belief in a particular system of living, and it is difficult for leaders to promote its growth if they do not themselves accept it[/QUOTENAJIVUNIA KUWA MJAMAA:
UJAMAA NI IMANI: AZIMIO LA ARUSHA
"Lakini Ujamaa hauwezi kujijenga wenyewe. Kwani
Ujamaa ni imani. Hauna budi kujengwa na watu wanaoamini
na kufuata kanuni zake. Mwana-TANU wa kweli ni Mjamaa, na
Wajamaa wenzie, yaani waamini wenzie katika imani hii ya
kisiasa na uchumi ni wote wale wanaopigania haki za wakulima
na wafanyakazi katika Afrika na po pote duniani. Wajibu wa
kwanza wa mwana-TANU na hasa kiongozi wa TANU, ni kutii
kanuni hizi za ujamaa hasa katika maisha yake mwenyewe. Na
hasa mwana-TANU kiongozi hataishi kwa jasho la mtu
mwingine au kufanya jambo lo lote ambalo ni la kibepari au
kikabaila."
 
DO NOT LET US DEPEND UPON MONEY FOR DEVELOPMENT It is stupid to rely on money as the major instrument of development when we know only too well that our country is poor. It
is equally stupid, indeed it is even more stupid, for us to imagine that
we shall rid ourselves of our poverty through foreign financial assistance rather than our own financial resources. It is stupid for two reasons. Firstly, we shall not get the money. It is true that there are countries which can, and which would like to, help us. But there is no country in the world which is prepared to give us gifts or loans, or establish industries, to the extent that we would be able to achieve all our development targets. There are many needy countries in the world. And even if
all the prosperous nations were willing to help the needy countries, the assistance would still not suffice. But in any case the prosperous nations have not accepted a responsibility to fight world poverty. Even within their own borders poverty still exists, and the rich individuals do not willingly give money to the government to help their poor fellow citizens. It is only through taxation, which people have to pay whether they want to or not, that money can be extracted from the rich in order to help the masses. Even then there would not be enough money. However heavily we taxed the citizens of Tanzania and the aliens living here, the resulting revenue would not be enough to meet the costs of the development we want. And there is no World Government which can tax the prosperous nations in order to help the poor nations; nor if one did exist could it raise enough revenue to do all that is needed in the world. But in fact, such a World Government does not exist. Such money as the rich nations offer to the poor nations is given voluntarily, either through their own goodness, or for their own benefit. All this means that it is impossible for Tanzania to obtain from overseas enough money to develop our economy.
NAJIVUNIA KUWA MJAMAA.
UJAMAA NI IMANI
Azimio la Arusha. Uk. 19
TUMEKAZANIA MNO VIWANDA
Kwa sababu ya kutilia mkazo fedha tumefanya kosa kubwa la
pili. Tumekazania mno viwanda. Kama vile tulivyosema “Bila Fedha
hakuna maendeleo,” ni kama twasema pia “Viwanda ndiyo
maendeleo. Bila viwanda hakuna maendeleo”. Hii ni kweli siku
tutakapokuwa na fedha nyingi, tutaweza kusema kwamba
tumeendelea. Tutaweza kusema, “tulipoanza mipango yetu tulikuwa
hatuna fedha za kutosha na upungufu huu wa fedha ulitupunguzia
nguvu za kuendesha maendeleo yetu haraka zaidi. Lakini leo
tumeendelea na tunazo fedha za kutosha”. Tumeendelea,kwa hiyo,
tunazo fedha za kutosha”. Yaani fedha zetu zitakuwa zimeletwa na
maendeleo.
Kadhalika siku tutakapokuwa na viwanda tuna haki ya kusema
kuwa tumeendelea. Maendeleo yatakuwa yametuwezesha kupata
viwanda. Kosa tunalofanya ni kudhani kwamba maendeleo yetu
yataanza kwa viwanda. Ni kosa maana hatuna uwezo wa kuanzisha
viwanda vingi vya kisasa katika nchi yetu.
 
Mleta uzi usitake kuuharibu ujamaa. Nchi yetu sasa hivi inafuata hisia za mkulu pale ambapo ataweza kupata sifa binafsi amri inatoka bila utafiti wa hiyo amri. Kwa maneno marahisi jambo lolote linaloweza kuleta sifa binafsi kwa mkuu linatekelezwa mara moja.
 
Ujamaa ni VITENDO na sio maneno. Siku zote CCM wamesema hii ni chi ya kijamaa-sasa angalia vitendo vyao-epa..........escrow.....kiwira.......nyumba n.k. Bado tunasubiri.
 
Ukirudusha ujamaa jiulize kwanza mjamaa ni nani katika nchi hii?

ujamaa ule wa Nyerere unapendeza kwenye makongamano na mijadala ya kisomi, siyo practically!

cha msingi, huduma za msingi kama afya, elimu na chakula viwe subsidized na serikali kadri ya uchumi utakavyoruhusu, lakini eti kuwaambia watu wawe sare sare au sijui viongozi wasiwe na nyumba za kupangisha, ni mambo ya kimasikini hayo hayana mpango kabisa
 
Chadema you are zero namshukuru Mungu aliyekataa msipewe nchi.Mfanyakazi wa serikali au shirika la umma kwenda kazini Na kurudi anatumia gari la serekali au shirika la umma.Akitaka kutumia ndege safari za kikazi anataka kutumia ndege binafsi stupid.Anatakiwa atumie usafiri wa ndege za serikali au shirika la umma la serekali.Chadema pumbafu nyie mifisadi isiyo Na uzalendo mnataka kupiga pesa kwa ndege binafsi

Umeandika nn? Umelewa?
 
Dunia ya leo huwezi ukawa mjamaa na ukafanikiwa kama huzalishi Teknolojia ya aina yoyote ile zaidi zaidi ni kutumbukia kwenye umaskini.

Hatuwezi tukaiga ujamaa Wa North Korea au Vietnam wale wanateknolojia kubwa hawategemei vitu vingi kutoka nje ya nchi zao.

Ujamaa kwa Africa ni sawa na Umaskini tu.
 
Nchi nyingi zilijalibu huo ujamaa mwisho wa siku either zikaishia kuwa masikini wa kutupwa au zikaachana nao mapema, watu wengi wanaunga mkono ujamaa kwa theory tu walizosoma darasani, kwenye maisha halisi ni mfumo uliofeli tena na tena. Hata mwasisi wa ujamaa nchini mzee Nyerere mwishoni aliona makosa aliyoyafanya na jinsi alivyowatumbukiza wananchi kwenye ujinga na umasikini wa kudumu.
So kama awamu ya tano imeamua kurudi kwenye zama za ujamaa kama katiba mbovu inavyosema, basi wajue mwisho wa safari umeshaandikwa kabla hata ya safari kuanza.
 
Back
Top Bottom