Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
anda shame on you gamba!Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:
tuko pamoja katika ukombozi wa kweli wa nchi hii.
Hayo madawa yenu tumieni wenywe tu wala msimsingizie mtu sugu alianza bangi yuko shule ya msingi unatarajia nini.
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Kwa hiyo wewe unaona ni sawasawa askari kuumburuta mbunge na kumpiga teke. Jamani, tujifunze kuwa rational na wastaatabu.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kwa hiyo ambao hawafanyi utoto ni wale wanaotukana wenzao kuliko kujadili mada iliyopo? Je ni wale wanaosema ndio?Nasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
Huyu Naibu spika hajitambui kabisa kwani nasikia hajui anawatoto wangapi kitu ambacho ni aibu na ndio maana Bunge kwa sasa halina Tija na manufaa yeyote kwa watanzania zaidi ya kututia hasara tu maana wanalipana Posho mwisho wa siku wanajadili mambo kipumbavu.Kila la kheri Dogo,tunasikitishwa na udikteta wa naibu spika
sorry, jina lako ni mrs ee?
mkuu kwa hiyo ujanja wa kimjini ni upi?Huyo sugu ni wa kushughulikiwa na mabaunsa ajiheshimu, mana anaujanja wa kishamba
mkuu hayo uliyosema una utani na kigwangalla na serukamba wewe!km uhuni anaoufanya mbowe wa kutumia vibaya nafasi ya kiongozi wa upinzani bungeni kuongoza uhuni, vurugu, kupiga askari na kutukana badala ya kujenga hoja
acha ujinga wewe ulitegemea askari wanapozuiliwa kutekeleza majukumu wafanyeje,ulitak wapige magoti kwa Sugu