Safi sana Dogo Janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje KUB halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. SHAME ON YOU SUGU!:bored:Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo. Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe. Kwa hatua ya sasa Sugu anaandija maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu. Tutawajulisha kitakachojiri
Updates ni muhimu sana mkuu....MUNGU AWABARIKI.
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
safi sana dogo janja. Jaribu kukaa naye umueleze kuna tofauti kubwa kati ya kuwa baa na bungeni. Mambo ya kijinga haya ya kutumia nguvu za mwili awaachie wala msuba wengine. Pale ni sheria na taratibu tuu ndiyo zinafuatwa. Ni akili ya mlevi tu ndiyo inaweza kufikiri kwamba naibu spika kwa mamlaka yake katoa amri kwa wanausalama wa bunge kumtoa nje kub halafu eti yeye anaweza kutengua amri hiyo kwa kutumia misuli yake. Shame on you sugu!:bored:
Nasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
Nasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
[UNASEMAAA, SIKUSIKII VIZURI UNAKATIKAKATIKA.]
Khaa!! ndiyo demokrasia. hasa kukiwa na kundi kubwa la wajinga wasioona mbali. huweza kufanya maamuzi ya kijinga kama hayo :bored:Mwambie Mhe Sugu asiwe na wasiwasi Mapokezi ambayo watu wa Mbeya wanaandaa zitakuwa salamu tosha kwa Ndugai & co
Na ni uhuni mkubwa kutumia cheo ( dhamana uliyopewa) vibaya
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo
WEWE ACHA USHABIKI WA KIJINGA HUELEWI KINACHOENDELEA NDezi wewe
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari