Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Makonda alizuia unywaji na unywaji wa pombe mchana. Katazo hilo lilisababisha viwanda vya bia vipunguze wafanyakazi kwa kukosa mapato.
Tangu 2016 mpaka leo serikali imepoteza mapato kiasi gani? Je, kwanini tuendelee kulalamikia uhaba wa vyumba vya Madarasa wakati tunajipotezea tu mapato kwa matamko ya wanasiasa wasio makini?
Makonda ni janga, anaitia hasara nchi, kwani tamko lake lilipokelewa kwa nguvu na wakuu wa mikoa mwingine.