Tumepoteza mapato kiasi gani kwa Makonda kuzuia unywaji wa pombe mchana?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
Makonda alizuia unywaji na unywaji wa pombe mchana. Katazo hilo lilisababisha viwanda vya bia vipunguze wafanyakazi kwa kukosa mapato.

Tangu 2016 mpaka leo serikali imepoteza mapato kiasi gani? Je, kwanini tuendelee kulalamikia uhaba wa vyumba vya Madarasa wakati tunajipotezea tu mapato kwa matamko ya wanasiasa wasio makini?

Makonda ni janga, anaitia hasara nchi, kwani tamko lake lilipokelewa kwa nguvu na wakuu wa mikoa mwingine.
 
Raisi huwa anawatu kama 10-12 hivi ambao ni architect wa mambo yake mfano uuaji, propaganda, n.k. makonda yupo ktk hawa. Anachofanya raising anajua na anamwamini. Rais lazima awe na watu hawa anaowaamini sana na wao wanamtii hasa.

Naishia hapa kwa leo
 
Membe aliingia tano bora akawa wa mwisho.

Yani hadi Makamba Jr alimshinda kwa kura lkn leo anajitutumua kana kwamba hajawahi kuchukua fomu.

Tunaonya, akitaka kushinda kirahisi aende chadema atasafishwa na kubatizwa mleta mabadiliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapenda taifa la walevi? lazima tuwawekee sheria ndogo ndogo ili muweze kufanya kazi unapokunywa pombe je unjiongezea kipato ama unajipunguzia kipato nadhani inatakiwa tubadirike 'we have to be cost benefit consious' ukitaka nunua hicho kinywaji kanywe nyumbani kwako
 
Mnapenda taifa la walevi? lazima tuwawekee sheria ndogo ndogo ili muweze kufanya kazi unapokunywa pombe je unjiongezea kipato ama unajipunguzia kipato nadhani inatakiwa tubadirike 'we have to cost benefit consious' ukitaka nunua hicho kinywaji kanywe nyumbani kwako
ACHA UJINGA mvinyo inanywewa Kanisani na watu wanatubu dhanbi zao kwanini wasinywee nyumbani mambo yaishe?
Kinywaji ni TIBA, Nguvu kazi, huleta uchangamfu nk
Huwezi fanya Kikao bila Kinywaji, angalia Sherehe zozozte hata Ikulu, hapo ndipo watu husema yote
angalia mfalme Daud mpaka alicheza na ngoma
angalia Yesu mpaka alijaza majaba harusi ya Kana
tumekosa mapato na hamna chochote kilichotupatia faida Dada zetu wamekosa ajira, wachoma nyama, vyakula nk
Kaja kuruhusu ia ziuzwe wakati pesa imezuiwa, karuhusu jumamosi maduka yafunguliwe wakati Kariakoo wamefilisika, karuhusu Dini saa za kazi watu wanakufa na Mwamposa
achana na kilevi chetu , Raha ya hii kitu unywe watu wakikuona na uwagawie ndio pato la Taifa litapatikana wala hatutahitaji misaada
 
Membe aliingia tano bora akawa wa mwisho.
Yani hadi Makamba Jr alimshinda kwa kura lkn leo anajitutumua kana kwamba hajawahi kuchukua fomu.
Tunaonya, akitaka kushinda kirahisi aende chadema atasafishwa na kubatizwa mleta mabadiliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa CHADEMA aidhubutu , labda ACT au ajiachie kabisa
CDM imesharudi nyuma katika mapambano askari wake wanasuiri hukumu ya mauaji wamekuwa waoga, leo wanaomba suluhu wakati Uchaguzi wa Serikali za mitaa umepita, wa Madiwani bado miezi mi5 eti wanomba maridhiano
kwa Chabema msiwapotezee watu muda, Makamba abaki CCM tu km Simbachawene, huoni mkwara asigombee Urais kwani kipindi kile alishinda sema fitina na umri, safari hii akipata Bumbuli hakosi uwaziri tena
 
Makonda alizuia unywaji na unywaji wa pombe mchana. Katazo hilo lilisababisha viwanda vya bia vipunguze wafanyakazi kwa kukosa mapato.

Tangu 2016 mpaka leo serikali imepoteza mapato kiasi gani? Je, kwanini tuendelee kulalamikia uhaba wa vyumba vya Madarasa wakati tunajipotezea tu mapato kwa matamko ya wanasiasa wasio makini?

Makonda ni janga, anaitia hasara nchi, kwani tamko lake lilipokelewa kwa nguvu na wakuu wa mikoa mwingine.
Mengi sana ,mimi nilikuwa lazima nipate bia tatu asubuhi na mbili lunch time hapo ni tano sasa kwa bei ya sasa ni zote ni 7500×365× 4=10,950,00 hiyo ni mimi tu lofa 10m sasa kwa matajiri billions of money mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA UJINGA mvinyo inanywewa Kanisani na watu wanatubu dhanbi zao kwanini wasinywee nyumbani mambo yaishe?
Kinywaji ni TIBA, Nguvu kazi, huleta uchangamfu nk
Huwezi fanya Kikao bila Kinywaji, angalia Sherehe zozozte hata Ikulu, hapo ndipo watu husema yote
angalia mfalme Daud mpaka alicheza na ngoma
angalia Yesu mpaka alijaza majaba harusi ya Kana
tumekosa mapato na hamna chochote kilichotupatia faida Dada zetu wamekosa ajira, wachoma nyama, vyakula nk
Kaja kuruhusu ia ziuzwe wakati pesa imezuiwa, karuhusu jumamosi maduka yafunguliwe wakati Kariakoo wamefilisika, karuhusu Dini saa za kazi watu wanakufa na Mwamposa
achana na kilevi chetu , Raha ya hii kitu unywe watu wakikuona na uwagawie ndio pato la Taifa litapatikana wala hatutahitaji misaada
Biashara zimekufa siyo kwasababu ya kuzuia kunywa pombe mapema, nikwasababu ya sera ambazo hazitabiriki huwezi kupanga kuboresha biashara kwa sera za majukwaani nyuma ya mikamera 'policy uncertaniny' you cant plan business growth with policy uncertanity
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom