Tumepita bila kupingwa

Tumepita bila kupingwa

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Majimbo 23 na bado wanaengua naona kama ule wa serikali za mitaa unajirudia

IMG_20200827_145613.jpeg
 
Bado kuna wapinzani waungamkono juhudi ndani ya kampeni wataacha kugombea nafasi zao za ubunge na udiwani ili wampesaport JPM.
Mbona upinzani nchi hii bado,tenabado sana tu,kuna waganga njaa.
 
Majimbo 23 na bado wanaengua naona kama ule wa serikali za mitaa unajirudiaView attachment 1549692
Reality, NEC wamekataza watu au vyombo vya habari kutoa matokeo. NEC wanasema kazi ya kutangaza "mshindi" au "washindi" kwa kigezo cha kupita bila kupingwa ni kazi yao; wanasema kuna kamchakato kidogo hadi kufikia kutoa tangazo la aina hiyo. Lazima wapewe taarifa na Msimamizi wa Uchaguzi kwenye ngazi husika. Sasa na wewe usiingie kwenye mtego huo, tusubiri NEC watwambie.
 
Duuuh aseeeeh yajayo yanafurahisha, acha wapite tu hakuna namna.
 
Bado kuna wapinzani waungamkono juhudi ndani ya kampeni wataacha kugombea nafasi zao za ubunge na udiwani ili wampesaport JPM.
Mbona upinzani nchi hii bado,tenabado sana tu,kuna waganga njaa.
Mimi nadhani upinzani ungejitoa kwenye uchaguzi, hakuna sababu ya kushiriki kwenye uchaguzi uliojaa dhulma, Tume ya uchaguzi inafanya kazi kwa maslahi ya chama tawala
 
Hata wakitoka chadema na act wataingia vile vyama njaa lipumba nccr mageuzi sau top UDP wataunga juhudi
 
Mimi nadhani upinzani ungejitoa kwenye uchaguzi, hakuna sababu ya kushiriki kwenye uchaguzi uliojaa dhulma, Tume ya uchaguzi inafanya kazi kwa maslahi ya chama tawala
Hatuwez pewa ruzuku mpaka tupambane mnama
 
Back
Top Bottom