Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,646
- 164,798
Kwani wewe ni TFF au bodi ya ligi?Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Kazi kwenu wahusika.
Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Kazi kwenu wahusika.
TFF au?Mbona nimesikia Wameahirisha Eid ya mwaka huu?
Na hapa tanga tumeuona, lakini ni mkubwa sana siyo wa leo................Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Kazi kwenu wahusika.
Nii kweli unaonekana mkubwa na hata wadau hapa wanaamini sio wa leo.Na hapa tanga tumeuona, lakini ni mkubwa sana siyo wa leo................
Ulivyo mkubwa kama nusu ya mfuniko wa ndoo ya 20 ltrs hii ngoma inaonekana umetoka tangu jana sema tuu mufti kafuata sheria za tffHatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.
Kazi kwenu wahusika.
TFF wanasemaje?Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.
Kazi kwenu wahusika.
Mkuu ni kiporo hicho wenzako waliuona janaHatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.
Kazi kwenu wahusika.
Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.
Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu.
Kazi kwenu wahusika.
Wale wanafuata kanuni kama Utopolo...Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa.
Waislamu wa janzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje.
Bakwata wamehongwa na sirikali ili kuikwepa Long weekend...Endeleani kufunga mwezi utatoka kuanzia mwezi wa Saba.endeleeni na maombi ndugu zangu.
Tumenyanyaswa sana na hawa Bakwata.
Nimesikia watu wanauulizia nikaona niwajulishe!!!ππππππ una mamlaka Mkuu ya kutangaza kuonekana kwa mwezi? πππ