Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,411
Huyu Kiongozi wa Zanzibar huwa sisikii akizungumziwa kabisa japo alikuwa kiongozi mkubwa.
Alifariki tareh km ya jana 04-July 2001 ila kila nikijiweka karibu na vyombo vya habari sisikii akitajwa kabisa.
Pumzika kwa amani Dr Omari Ali Juma, japo ulifariki nikiwa darasa la 6 na pia mimi siyo mzanzibari ila nakukumbuka.