Tumemsahau Dr Omari Ali Juma?

Tumemsahau Dr Omari Ali Juma?

Moja kati ya wanasiasa ninao wataishi na sitawasahau katika maisha yangu ni Hyu Dk.Omari juma
Umenikumbusha mbali nakufanya nitafakari sana
 
ukifa unakuwa unwanted material kama huamini subiria ufe
 
Alale salama huko aliko,wanzanzibar wenyewe wakijenga majengo au barabara wasimsahau kumuenzi Kama mi nilivyokuwa natamani jengo la kituo Cha utangazaji Cha mawingu japo nao wangejaribu kuita eneo lile Amina au chifupa house kumuenzi
 
Back
Top Bottom