tumemalizana na Ivo Mapunda: Hans Mapunda

Hivi watu wengine kweli mnafuatilia hii sekta au basi tu? Kuna mtu eti anasema Kaseja hasingeachwa...?? Yeye nani mpaka asiachwe ?
Hizi timu mbili zina mikataba na kampuni ya ulabu, wanalipwa mishahara ya players, admin costs na vifaa ikiwemo usafiri.
Hans pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji na mwenyekiti wa kamati ya usajili sio kwamba anapewa majina na Makinda nani wa kusajili sasa sijui hizi pumba zinatoka wapi wakati kocha alishasema anataka kipa mwingine mzoefu zaidi ya Berko !!

Anaesajili wachezaji ni Friends of Simba, jukumu la timu kufanya vizuri lipo mikononi mwa kocha.

Anayelipa mishahara ni mtu binafsi kutoka kwenye mfuko wake.

Soka la bongo lilistahili liingie kwenye Guiness
 
Ivo nitamuona M..We..hu akikubali kwenda Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…