Umenikwaza sanaaaa
Mambo, mzima? ni salamu tu
Kwa kufanya nini tena DEMBA ?
si unatongozana na Evelyn Salt hapo hadharani
Kumbe hapo nimetongoza?
Hehehe utanuniaje kivuli? Kiukweli ya humu nayaachia humu..kila nikilog in naanza upya
unataka nini sasa?
Mleta mada ubarikiwe pamoja daima
ndio mnaanzaga hivo hivo...;
Unamaanisha nini unapozema "mnaanzaga hivyohivyo"?
Mi sikua najua hilo,nilikuwa napiga story tu ......namaanisha huo ni mtongozo ukiwa katika stage za mwanzo...