Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Vunja mifupa kama bado meno iko....
I taki zis as a yesi!
Vunja mifupa kama bado meno iko....
we mkaka naona unataka kumkwaza muumba....I taki zis as a yesi!
Ohoooo niibie gorofa ila sio huyu baby wangukwan bwanako ni nani shosti? maana sie wengine kwa wizi kama tumelogelezewa vile!!!
Ohoooo niibie gorofa ila sio huyu baby wangu
swali zuri sanaaaa....et Evelyn Salt nani mwenyeyu ithije akanipm tukutane regency hotel mi nikaenda fastakwan bwanako ni nani shosti? maana sie wengine kwa wizi kama tumelogelezewa vile!!!
Yani mtamu kama ndizi sukari, muibe nikupige vichwa....kwani tena ukisema hivo ndio unanitamanisha kumuiba...mtamu sana eehhh?
swali zuri sanaaaa....et Evelyn Salt nani mwenyeyu ithije akanipm tukutane regency hotel mi nikaenda fasta
Ha ha ha eti regency lol....Kizuri kula na nduguyoo/mwenzio/mwanamemba mwenzio acha uchoyo,
ÓNamshangaaa! Anaingilia ndoa za watu! Kupewa lift anataka kupiga honi kabisaa!
swali zuri sanaaaa....et Evelyn Salt nani mwenyeyu ithije akanipm tukutane regency hotel mi nikaenda fasta
Yani mtamu kama ndizi sukari, muibe nikupige vichwa....
tena kama mie nikishasikia huyu wa mtu ndio moyo hunienda mbio na shetani wa wizi ndio hunipanda. waliosingo siwapendagi sijui kwa nini...lol
Huku hakuna matusi, matusi yako siasa.
unataka nini sasa?
umenikwaza kwasababu unatuchanganya humu ndani.Ndio maana sijakutaja