Tumekwazana sana JF

Unajua wengine humu wana Mabwana humu wanahisi wanaibiwaa inabid wawe wazii kuchukiana sio mpangoooo
Jaman tupendane tu chuki haifaii

yaani umenipa mwanga....jitu linatumia ID nyingine kutema shudu kisa yupo nawasi wa kuibiwa, wanadhani wote kusaka bwana humu...
mjinga aliyenichokoza mimi simsameh ------- zake....na anabahati..km yeye mjanja angekuja kwa real ID...
 
yaani umenipa mwanga....jitu linatumia ID nyingine kutema shudu kisa yupo nawasi wa kuibiwa, wanadhani wote kusaka bwana humu...
mjinga aliyenichokoza mimi simsameh ------- zake....na anabahati..km yeye mjanja angekuja kwa real ID...

Yaan unaweza kua unajibishana na mtu kumbe mtu wake unashangaa tu unaongelewa pm yule Dina yupo hivii waweke waziu ili tusiwe tunajibizana tu kama mimi ilivyo wazi kwa hubby wangu Redlum nna aman tele

Wengine anataka umkubalie kwa anachokisema ukimpinga tu tayari ushachukiwaaa

Kuna wale wao wamo kutukana tu na kuchokozaa tu ili akushitak upewe ban
 
amefanya nisiende tena kwenye jukwaa hilo!

Ahh..hilo jukwaa sio kabisa...mtu ukijaribu kushauri CCM watu wana conclude wewe ni Chadema. Na ukijaribu kukosoa Chadema basi watu wana conclude wewe ni CCM. There is no compromise in that platform. Watu hawako tayari kusikiliza na ku digest maoni ya wenzao. Rigidity is the order of the day
 
Haha, nashukuru hanifahamu mtu. Ila ukinitukana nikaumia nitakusaka tu
 
Tatizo humu jf kila mtu ni mjuaji hata kama hajui bas atajifanya anabisha ilimrad tu nae aonekane kuwa yupo.Pia inaweza letwa mada nzuri tu ambayo kwa namna moja au nyingine inaujumbe flan ambao kama haujamgusa mtu kwasasa bac utamgusa hata kwa baadae.mtu anakuja na mada ambayo inahitaji ushauri na maneno ya faraja lakini utakuta mtu/watu wanaojiita ma GT wanaanza kujadili mambo tofauti na mada mpaka matusi,kejeli na maneno ya dharau vyote vinajitokeza ktk mada ambayo haihusiani navyo kabisa.Kuna wakat huwa najiuliza hiv hii ndo jamiiforum niliyoisikia kuwa inaweza ikambadilisha mtu kwa namna moja au nyingine socially,politically and economically kutoka ktk kiza hadi kwenye mwanga?Wapo wastaarabu ambao kiukwe huwa hawana maneno ya karaha.TUNATOFAUTIANA KIMAWAZO,KIELIMU,KIUCHUMI NA HATA KITABIA,SO NAFIKIRI NIVYEMA KAMA MTU ANAKOSEA BAC ASAHIHISHWE KWA KISTAARABU NA SIO KEJELI AU MATUSI.
 
Habari za Jumapili wana MMU na wengine wooote toka majukwaa mbalimbali...

Nipo hapa leo kwajili ya Kutafuta amani kwa sie tunaotokea kukwazana kwa somecomments,
Inafikia hatua mtu kujenga chuki na mtu humu ndani,kiasi kwamba kila wakikutana sehemu yoyote JF lazima watoleane maneno ya karaha,

Japo wengine wanasema JF stress free lakini si kweli,kuna siku zinazotokea watu na watu kupishana mpaka kutukanana au kuitana majina tofauti.

Chuki haijengi ndugu zangu, Ni makosa tu ya kuelewa au kuchukuliana kama fulani hafikiri vizuri,Sisi ni wamoja TUPENDANE,TUSHIRIKIANE,TUSIKILIZANE

Leo tuchukue nafasi hii kutakiana amani,ili tuendeleze amaniiii na upendo daima wanaJF.

Wengine si wepesi kusema samahani ,lakina hata ukimtafuta hasimu wako na kumtakia hali na salamu inatosha sanaaa.

Love u JF members, lara1 mambo shostitooo mamaa first lady


Kwanini umemtaja lara 1 bila kunitaja mie au ndio mambo ya kukwazana yameanza....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom