Tumekupunguzia gharama

May 20, 2016
25
6
About Big One Enterprises

Big One enterprises(logistics )
Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama,mda,usumbufu katika sekta ya upauaji,tumejikita katika kuokoa gharama na kumpunguzia mteja gharama kutokana na zama hizi na hali halisi
faida utakazozipata Big One Enterprises ni zipi?

1.Gharama za chini za upauaji kupitia mafundi wetu wa ofisini,kwanzia kumfatilia mpaka kukabidhi kazi ni jukumu la ofisi
2.Gharama za usafirishaji kwa upande wa bati ni za kwetu.
3.Gharama za ufatiliaji za kiwandani ni za kwetu
4.mazungumzo ya gharama kuafikiana kwa pande zote mbili
5.Ushauri wa kiufundi kwa nzia aina gani ya bati kwa ubora wa rangi,material ya bati,uimara wa bati,gauge halisi kulingana na hali halisi ya eneo uliopo
7.Upatikanaji wa bidhaa ndani ya masaa 24 kwa wakazi wa Dar-es-salaam,ile pia nje ya Dar-es-salaam ndani ya masaa 24 mzigo utakuwa ushatumwa tayari
8.Tutakufuata popote pale ulipo
Big one we simplify fou you

Call 0656-816616 kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom