Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,373
- 12,020
Za Jumapili ndugu zangu?
Kwa Jumapili ya Leo ningependa kuwajulisha wale wote wajasiriamali kuwa ile Kampuni iliyojitolea kudhamini, vikundi vya wakina Mama, au vijana ili kuweza kupata Mikopo katika Benki na kuwawezesha kujiajiri, imekuja tena!
Kwa takiribani miaka 5 imekuwa ikifanya kazi kama intermediary microfinance wilaya ya Temeke, na imefanikiwa kuwaunganisha wajasiriamali wengi wilaya ya Temeke , sasa imepewa kibali cha kurasimisha Vikundi vyote/ VIKOBA vyote na kuvifanya vitambulike kisheria nchi nzima sasa kama wewe ni kijana na umekuwa ukilalamikia mtaji tafadhali unda kundi lako na uje upate mtaji wa kuanzia biashara ndogo ndogo na uachane na kusubiri ajira.
Karibu CHIMBUKO VIKOBA(INTERMEDIARY MICROFINACE UFAIDIKE NA UDUMA BORA.
Kama wewe ni mama/ kijana mfanyabishara ndogo hii ni fursa yako njoo tukudhamini, upate huduma ambayo hujawai pata na ukutegemea kuipata.
Piga no hii.. kwa mawasiliano zaidi.
+255717616227