Tumekariri tu eti, wapo wenye misimamo yao

Tumekariri tu eti, wapo wenye misimamo yao

Swala la kupasha kiporo inategemea na mlivyoachana,kama mliachana kwa amani utapasha kiporo vzuri tu!,Ndomana wanaume tunashauriwa mwanamke usimuache kwa mbwembwe na matusi juu,muache kistaarabu kwa kuwa ipo siku utamuona mzuri kanenepa na anatamanisha!
 
Swala la kupasha kiporo inategemea na mlivyoachana,kama mliachana kwa amani utapasha kiporo vzuri tu!,Ndomana wanaume tunashauriwa mwanamke usimuache kwa mbwembwe na matusi juu,muache kistaarabu kwa kuwa ipo siku utamuona mzuri kanenepa na anatamanisha!
Tuliachana kwa amani kabisa mkuu
 
Kinachokuumiza ni kushindwa kupasha kiporo..hata ya mwanao hufikirii...kijana bure kabisa.
Ningeandika kila kitu hapa usingemaliza kusoma,yasiyoandikwa achana nayo
 
Baadae huyo mtoto akija kuwa diamond platnum utasimama mbele ya watu unatia huruma kutaka msaada ?

Mambo mengine mnatengeneza wenyewe

Idiot
 
Bado hutaki kuzungumza kuhusu mwanao
Ambae hujui anaishi vipi huko Kwa mjomba
Unataka tukushauri utaweza vipi kupasha kiporo na ma ex?
Seriously?
[emoji23][emoji23] hii ngumu kumeza ..
 
Baadae huyo mtoto akija kuwa diamond platnum utasimama mbele ya watu unatia huruma kutaka msaada ?

Mambo mengine mnatengeneza wenyewe

Idiot
Hata akija kuwa kama wewe sawa tu
 
Mwaka 2013 mwezi wa tano nilimdaka juu kwa juu baada ya kuachana na mumewe, mapenzi yalikuwa motomoto nilitamani sana kumuoa lakini nilikuwa kila nikikumbuka habari za wapenzi kurudiana moyo wangu ulikuwa mzito kufanya maamuzi. Mwaka 2014 mwanzoni bila kutarajia mimba ikaingia na mtoto akazaliwa mwaka huohuo. Mwaka 2017 akarudiana na mumewe,yeye na mumewe wanaishi mkoa wa mbali.

Mwaka jana mwishoni alikuja kwao kwa ajili ya krismasi na mwaka mpya, nikafanya naye mawasiliano tuonane sehemu tuzungumze mawili matatu kuhusu mwanetu akakubali, lengo langu lilikuwa kutaka penzi na si vinginevyo. Mambo yalikuwa tofauti alinigomea kabisa, akaniambia tuongee habari za mtoto tu na sio mambo mengine yoyote hayuko tayari.

Baada ya kuachana pale nilijaribu kumtumia jumbe za kumshawishi walau anipe penzi siku moja tu ilishindikana,akaniambia ,"Niliamua kuwa nawe kipindi kile kwasababu mume wangu aliniacha, nilikuwa nahitaji mtu wa kunipa furaha nilikuwa mpweke kupita maelezo wakati ule.

Nashukuru ulikuwa furaha yangu ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu ila nasikitika sana nilizaa nawewe nikijua utakuwa mume wangu na sikujua kama tutakuja kurudiana na mume wangu. Hukuwa na nia njema la sivyo ungenioa na hata mume wangu alipotaka nirudiane naye nilikushirikisha ukaniambia poa tu nirudiane naye, nimerudiana naye unataka nini tena kwangu.

Tayari nina watoto watatu Ila huyu wako ananiumiza sana, Nampenda mwanangu ila kila nikitafakari naumia sana wakati mwingine najikuta nalia peke yangu,niliamua kumpeleka mwanangu kwa mjombaake kwasababu niliona atakuwa kikwazo kwenye ndoa yangu nawaza mengi sana bila majibu, lakini namwachia Mungu.

Siwezi kamwe kumsaliti mume wangu ambaye aliamua kurudiana na mimi bila kujali kama nimezaa nawewe,usipoteze muda wako bure,nampenda sana mume wangu nimeapa sitomsaliti kamwe" Huyu wa pili kuninyima sijui sina bahati au inakuwaje, nyinyi ambao mnaendelea kupasha viporo na ma Ex wenu mnatumia mbinu gani?
mkuu kachukue mwanao, dada alitaka umuoe ukazingua
 
Back
Top Bottom