Tumejiandaje na Mei Mosi?

Tumejiandaje na Mei Mosi?

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Igweeeeeeeee.....!!!!!

Ikiwa kesho ndio mwisho wa mwezi wa nne (April) sijasikia tetesi zozote kuhusiana na sherehe hizi... Je hakuna maadhimisho tena au Antenna yangu ndio iko analogy???
 
Iringa mama kama unateam ya chakula aka mamantilie wageni washaanza timba so
Fanya uwahi location.
 
Maadhimisho yanafanyika Iringa na mzee baba ametinga maeneo tayari nawaza tu sijui atawadanganya nini watumishi aliowaburuza toka apewe udereva wa lori.
 
Hivi hii inawahusu wafanyakazi Wa taasisi za Serikali pekee au na wa binafsi?
 
kwenye mei mosi ya mwaka jana alitoa ahadi Fulani tunasubiri kesho abugi tumuumbue.. maaana hakuna namna sasa
 
Zikiwa zimebaki saa chache kufikia siku kuu yetu wafanyakazi (Mei Mosi) tumejiandaaje kuboresha utendaji wetu kwa ajiri ya mwaka ujao na maendeleo yetu na taifa kwa ujumla.

Binafsi nimejiandaa kuboresha utendaji wangu wa kazi pamoja na changamoto ziilizopo.

Waajiri wetu sisi tumejipanga vizuri,nyie mmejipanga vipi kuboresha mazingira yetu ya kazi???
 
Ni maumivu tu kwenda mbele tuwe mashetani kamili kwa kuota mikia!
 
Zikiwa zimebaki saa chache kufikia siku kuu yetu wafanyakazi (mei mosi) tumejiandaaje kuboresha utendaji wetu kwa ajiri ya mwaka ujao na maendeleo yetu na taifa kwa ujumla.
Rekebisha kiswahili chako usifanane na cha SIZONJE
Kwa ajili sio kwa ajiri.. kwani we ni muhutu?

Kwanza tujikumbushe ile ahadi ya SIZONJE ...Nitawawongezea mushahara kabra ya mwezi jurai..
 
Back
Top Bottom