Tumejenga Hospitali Kubwa Kusini mwa Jangwa la Sahara- MUHAS Mloganzila!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,815
Hii ndiyo Hospitali yetu mpya na iko mbioni kukamilika ambayo ni kubwa klk zote (ukiondoa AK) Kusini mwa Jangwa la Sahara!

HAPA KAZI TU!

muhas1.jpg

muhas2.jpg

muhas3.jpg

muhas4.jpg

Ujenzi unaendelea na uko mbioni kukamilika!

muhas%2Bmap.png

MUHAS First Phase construction completed

HAPA KAZI TU!
 
Ingefaa kila mkoa uwe na hosp. ya rufaa kabla ya kuzifikia izi rekodi. Kumbuka tulijenga Chuo cha Udom kikuuuubwa alaf tumeshindwa kudahili kukijaza majengo engine yapoyapo tu
 
ni kweli imejengwa iko kibamba,imebaki kukamilisha mambo machache na kufunga vifaaa,ujenzi umekamilika
Sio kweli mkuu kwamba imeshamalizika hadi sasa limejengwa ghorofa moja ambalo halijaisha na ishu kubwa ni wananchi wa mloganzila wanadai fidia ya ardhi hawajalipwa hadi leo
 
Ingefaa kila mkoa uwe na hosp. ya rufaa kabla ya kuzifikia izi rekodi. Kumbuka tulijenga Chuo cha Udom kikuuuubwa alaf tumeshindwa kudahili kukijaza majengo engine yapoyapo tu
Ila kwa kweli UDOM kubwa kinoma. Ila sio mbaya for future itatosha. Pale ingalau mkwere alicheza kidhungu pamoja na kuwa ujenzi wake umekula pension za watu kwenye mifuko ya hifadhi za jamii.
 
Sio kweli mkuu kwamba imeshamalizika hadi sasa limejengwa ghorofa moja ambalo halijaisha na ishu kubwa ni wananchi wa mloganzila wanadai fidia ya ardhi hawajalipwa hadi leo

Duh! Kuna watu wabishi yaani kila kitu wazi wanabisha tu yaani unabishana mpka na picha za Satellite za google ambazo zinaonyehso Majengo yamesimama na Dunia nzima inaona kweli nyie ndiyo wale mnaoua wazazi wenu kwa ushirikina ili tu mpate mali ambayo hata hutakaa nayo muda mrefu hapa Duniani, kwa maana hamna namna nyingine mtu unayoweza kuwaelezea aina ya watu kama wewe, unabisha kitu kiko wazi kabisa?
 
Ila kwa kweli UDOM kubwa kinoma. Ila sio mbaya for future itatosha. Pale ingalau mkwere alicheza kidhungu pamoja na kuwa ujenzi wake umekula pension za watu kwenye mifuko ya hifadhi za jamii.
Hivi Mkuu ile UDOM muasisi ni Mkapa au Kikwete!? Yaani aliyeanza kujenga kile chuo.
 
Itakuwa Vizuri Endapo Itatibu na Ujinga manaake wajinga wengi sana nchi hii . Wataje.....
Wajinga wote walioichagua ccm. Wajinga wote wasiotambua umuhimu wa mabadiliko kwa maendeleo chanya. Wajinga wote wanaodhani nchi hii bila ccm basi ni kiama.
 
Back
Top Bottom