Tumeingiliwa....!!!

Tumeingiliwa....!!!

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,318
Reaction score
7,215
wp_ss_20160824_0001.png
 
ungejua kazi iliyowaleta hawa ungefurahia sana,hapo hachomi mahindi tu
 
Hicho ni kiini macho tu,usije kushangaa ukimuona kwenye TV ameshikwa na meno ya tembo.....
 
Uzuri wa hawa jamaa kwenye kutafuta pesa hawaoni haya hata mitaro wanazibua..
 
Umeona ee. Kijana wa kitanzania hana shilingi mfukoni hathubutu kuuza mahindi!
Kabisa,tena anakwambia kazi ya kipuuzi kama hi siwezi fanya..fika Nigeria mtu ana digrii/master anauza genge au biashara ndogondogo Safi kabisa na familia inatunzwa
 
Kabisa,tena anakwambia kazi ya kipuuzi kama hi siwezi fanya..fika Nigeria mtu ana digrii/master anauza genge au biashara ndogondogo Safi kabisa na familia inatunzwa
mchina, safi sana. wacha sisi tuendelee kuona aibu huku hali zetu za maisha zikiwa hoi bin taaban
 
Uzuri wa hawa jamaa kwenye kutafuta pesa hawaoni haya hata mitaro wanazibua..
Umeona ee. Kijana wa kitanzania hana shilingi mfukoni hathubutu kuuza mahindi!
Kinachohitajika kujadiliwa ni kuwa yuko nchini kwa ajili ya kazi ya kuchoma mahindi?! Yaani alipotoka kwao kaomba viza/kibali cha kazi ya kuchoma mahindi?!!
 
Hili neno lina maana nyingi! ila kiukweli taratibu zimefuatwa? Pili fursa hizi wazalendo tumekatazwa?
 
Umeona ee. Kijana wa kitanzania hana shilingi mfukoni hathubutu kuuza mahindi!

Mchina akiona biashara haiendi anauza sh. 100 kila mhindi tofauti na Mtanzania ambaye atang'ang'ania bei ya sh. 500 robo mhindi..
 
Huyu ana target nyie jidanganyeni eti mchina kaja tz kuchoma mahindi .....!
Haiingii on mind
 
Anakusanya data hapo,inawezekana maeneo ya alipo kuna kiwanda bubu halafu yeye ndio mlinzi.
 
Back
Top Bottom