MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 622
Usiku wa kuamkia leo saa nane hivi, vibaka wamevunja dirisha na kuiba TV tu ila hawajasababisha madhara mengine.
Je, hivi vingamuzi vina namba na TV pia, hakuna uwezekano wa kutambua huko inakoenda kutumika? Mfano eneo na kingamuzi inachotumia?
Kama Polisi hawana kitengo maalumu cha IT kufuatilia matukio kama haya?
Sent using Jamii Forums mobile app