Tumeibiwa TV inchi 32 Goba Dar, hivi hakuna uwezekano wa kuifuatilia huko inakoenda kutumika?

Nondo kuna mikasi maalum yaan niloshuhudia nondo 16mm inakatwa kama kamba, dawa funga kamera vuga na mbwa na itanoga ukiweka na aluminum tinded na ac
Sasa hapo nafkilia Ile alluminium itakuwa sijui wameifunguaje,

Itabidi nifanye mpango niweke nondo aisee,maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana , hilo la camera naona ndio mpango mzuri aisee.
Mbwa nina alergy nao sana, naogopa nahisi wataning'ata.
Nondo kuna mikasi maalum yaan niloshuhudia nondo 16mm inakatwa kama kamba, dawa funga kamera vuga na mbwa na itanoga ukiweka na aluminum tinded na ac

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goba Kuna taka kufanana na Chanika Sasa. Wizi umekithiri wananchi msilale fofofo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Polisi wajitahidi kufanya doria mtaani.

Kuna siku walikuja mtaani kwetu saa 2 usiku wakiwa na machine za kutosha wakapora vya kupora wakaondoka.

Sasa nani ajitoe mhanga wa kupambana na watu wamekuja na bunduki.

Kinachoboa Goba ni hiki wizi, hadi watu mnakosa amani yaani
 
Mi ndugu yangu suala la kifunga nyumba kwake ni hapana kabisa.. Bora abaki hata housegirl
Ukiondoka tu umekwisha
Polisi wajitahidi kufanya doria mtaani.

Kuna siku walikuja mtaani kwetu saa 2 usiku wakiwa na machine za kutosha wakapora vya kupora wakaondoka.

Sasa nani ajitoe mhanga wa kupambana na watu wamekuja na bunduki.

Kinachoboa Goba ni hiki wizi, hadi watu mnakosa amani yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gona + Salasala ndio kawaida kuibiwa tv na sijui why? Me niliibiwa wakat nimehamia na miez miwili inch 55 aisee iliniuma
Hata week haikuisha ndg yangu nae akaibiwa Goba
Duhh mkuu ulifanyeje baada ya hapo? Umeweka mlinzi. Hukuwa na mlinzi?
 
Mida ya saa nane na nusu dada wa kazi alitoka chumbani koz choo ni public lazima uje sebuleni, ndio akasikia watu kama wanapita nje akashtukia TV haioni ndio akawaamsha wengine na kuanza kupigia simu majirani. Tunae mlinzi sema alikua nyumba za chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mlinzi mfukuze tu, yaani watu wanaingia hasikii. Hafai huyo.
 
Haya mambo ya kuvunjiana madirisha yananipa headache sana maana nina kibanda nataka kiwekwe grilles na kipo hii Mbezi ya kimara sasa nakosa jibu sahihi niweke nondo au dirisha za mbao tatizo mbao bei ya ghali mno.

Pole sana mkuu,wizi unarudisha sana maendeleo ya watu nyuma.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Pole sana mkuu.. kuibiwa kunauma hatari!!

Baada ya kuibiwa mara 2 nimeachana na matv ya bei...
 
Weka dirisha la mbao na nondo kwa ndani, halafu kwa nje weka dirisha la chuma lenye urembo unaotaka wewe. Ila tumia chuma imara na sio hizo flat bar.
Hata wezi wakija wapate tabu kuvunja, sio hizo flat bar zinapinda na kukwanyuka kirahisi sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom