GoPPiii.
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,792
- 3,079
Kila mtu asali sana na kuiombea hii nchi kwa namna anayojua yeye inafaa ilimradi lile jambo la bandari lisitokee.
Lakini tumefikaje huku? Tumefikaje kuwa na mjadala wa namna hii!?
Nina nadharia mbili tatu kwa nini tuna jadili jambo la hovyo lenye hasara kwa taifa, mpaka mitaa inatikisika hivi.
1/ Deni la taifa sasa halilipiki. Kinachotokea ni namna nyingine ya kulipa hela za watu.
2/ Ahadi ya kuchangia bajeti ya nchi kwa kiwango ambacho serikali imeona inapunguza mzigo kwake. Mfano; Mishahara ya wafanyakazi ambayo huchukua kiasi kikubwa cha mapato ya nchi itatoka kwa hawa watu hivyo serikali haitawaza mishahara tena ya wafanyakazi.
3/ Kuna watu wameshalipwa pesa ndefu sana, kuhakikisha hili jambo linafanyika. Pesa ambayo inahitaji roho ngumu kuikataa. Hii ni wadubai wametumia roho zetu za ufisadi kuhakikisha dili kama hili linafanyika.
Tumefikaje hapa?
Kama kuna mtu anajua faida ya hili jambo tafadhari nieleweshe maana mpaka sasa sielewi zaidi ya kuona hasara tu.