Kuna Wajinga wachache wanaosapoti ubinafsishwaji wa bandari, but hawajui kuwa Kuna effect kubwa Sana itawapata wafanyabiashara wanaotumia bandari ku export na ku import mizigo yao,
Bandari ikibinafsishwa hakutokuwa na misamaha ya Kodi Kama tulivozoea, Ndugu zetu wa karikaoo na wafanyabiashara wote waliozoea kukwepa Kodi lazima wakione chamoyo, pia Kuna uwezekano Kodi za kutoa mizigo badarini zikaongezeka Mara dufu
Sio hivyo tu pia Wafanyakazi wa bandarini wako hatarini Sana kupoteza ajira zao....