Tumefika hali hii kweli?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hii ni picha inayozunguka mitandaoni kuhusiana na yale yaliyokea leo.

Siongezi neno lolote bali kila mtu ajionee mwenyewe.

Screenshot_20210813-214914.png
 
Ubaya wa hiyo picha ni upi wewe mbuzi!!!!

Wanaume katika harakati mbali mbali wanajikuta sehemu za hatari sana,hiyo wala sio 1% ya gharama ya kutafuta ukombozi,ni chini ya hapo.

Nyinyi endeleeni na harakati za twitter na jf,ila uhalisia ndio unataka hayo ya kwenye picha.
 
Umeambiwa ukae nyumbani, unalazimisha kwenda kwenye kesi ya gaidi Mbowe. Acha upigwe tu. Nyie mifikiri akifa Magufuli ndo mtabembelezwa Kama yatima. Baada ya kumtukana Lowassa zaidi ya miaka 8 na kumkaribisha kuwa mgombea 2015. Wengi wetu huwa tunaona ni poa hata mkitiwa vidole matakon..I. Maana ni Kama NYUMBU.. hamtumii akili.
 
Jamaa kalalia kiatu cha askari,ila wahuni mnataka kupindisha ukweli.
Dah mitandao siku hizi inatumika vibaya Sana kueneza propaganda mbaya kuhusu kitu flani Apo utakuta Kuna muhuni mmja kapiga pich ya kuotea ili achafue watu Basi ila kuwa msukuke ni kazi Sana sababu utakubali kila kitu ata kile kinachojidhihirisha kw macho tu,,,
 
Ndio siasa walizobakiza.

Hakuna hoja za nguvu tena.
 
Back
Top Bottom