mi wasiwasi ni kujitambulisha kabla hata ya kufahamiana vizuri.sasa hapo kuna ugumu gani? kama haipo tayari to commit just tell her... wanaume bwana. hilo sio jambo lakuomba ushauri hapa.
Utamuumiza ndio. We mwambie kama ulivoandika hapo in bold. Kama sisi wanaJF tumeelewa nae ataelewa tumi wasiwasi ni kujitambulisha kabla hata ya kufahamiana vizuri.
mi huyu msicha sijapata mda wa kujua hata tabia yake, anapenda nini, hapendi nini, akikasirika inakuaje, wallet kikiwa tupu anarespondije, je anampenda mungu, ana upendo wa dhati? anapenda maendeleo? nk
mambo ambayo mi kwa utashi wangu nafikiri ni muhimu kuyajua kama mna mpango wa kuwa pamoja, ili muweze kuendana,
sasa mkuu mi nikienda kujitambulisha alafu baadae nikagundua kuwa tabia zetu haziendani nikampiga chini huoni mi nitakuwa namuumiza binti wa watu?
Ndechumia Hili tukio linatoa picha the type of dude you are... Naona ni mstaarabu, mpole, waheshimu saana wanawake na uko sensitive, na ni the type of guy ambae wadada wajanja hua attracted to hasa kama anahitaji life partner desperately.... huyo dada kisha kusoma, anajua ni moja ya wale wanaume wako really weak in making decisions kama zinaenda tofauti na mwanamke alo mbele yako. Atakua kisha kusoma kua huna mtu ambae yupo serious katika mahusiano yako (or hata kama yupo serious there is a better chance of her winning you); Ni mjanja ajakimbilia kua labada muende faragha or have sex.... Anajua once ukienda kwa wazazi utashindwa kujinasua.... Imagine hapa kakuita tu Mpenzi ukalainika na you liked it... I bet hata hizo tea na lunch ni wewe wahudumia... Enways IMO kama umempenda sio mbaya ila hio ni too fast... For walau yatakiwa muipe hio relationship nafasi ya kukua....
Hata hivo I maybe wrong, for ni mambo mengi yatakiwa ku observe....
Ashadii nimekupata, nashukuru sana.
hilo la kuniita mpenzi nami nikalegea ni kwamba yy aliniwahi tu,
nilishakuwa na plan ya kumtokea ila mimi nikawa nataka kwanza nimfahamu vizuri, kabla ya kumwambia chochote,
Sasa alipoingia laini ndo nikaona niendelee hivohivo mdogomdogo,
AshaDii & MwanajamiiOne wamezungumza yote tena kwa ufasaha sana..chukua ushauri huo bro! Haraka haraka haina baraka...ukishakubali kutambulishwa ndani ya huu mwezi na nusu ya mahusiano,huwezi jua next month anaweza akakwambia mjamzito na umuoe kuepusha aibu ndo itakuwa balaa zaidi.
Ni kweli kuwa mapenzi hayana formula ila ni muhimu kuzingatia mambo ya muhimu katika mahusiano!
KYC-know your customer (Source-Kongosho)
mmh umejibu vizur RR.Utamuumiza ndio. We mwambie kama ulivoandika hapo in bold. Kama sisi wanaJF tumeelewa nae ataelewa tu
nadhani ulichoandika hapo juu ndo unapaswa kufanya.mi wasiwasi ni kujitambulisha kabla hata ya kufahamiana vizuri.
mi huyu msicha sijapata mda wa kujua hata tabia yake, anapenda nini, hapendi nini, akikasirika inakuaje, wallet kikiwa tupu anarespondije, je anampenda mungu, ana upendo wa dhati? anapenda maendeleo? nk
mambo ambayo mi kwa utashi wangu nafikiri ni muhimu kuyajua kama mna mpango wa kuwa pamoja, ili muweze kuendana,
sasa mkuu mi nikienda kujitambulisha alafu baadae nikagundua kuwa tabia zetu haziendani nikampiga chini huoni mi nitakuwa namuumiza binti wa watu?