muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Kipindupindu kinatibika.Mbona naibu katibu mkuu wenu ameumwa kipindupindu husemi?
Mbona naibu katibu mkuu wenu ameumwa kipindupindu husemi?
Hajasafiri na wasaidizi 10 kwenda Ulaya kutibiwa kwa kodi ya maskini Watanzania. Yeye kaenda Aghakhan Hospital kutibiwa kwa pesa yake.
Kipindupindu kinatibika.
Hatukumchagua aliteuliwa, lakini Mungu amsaidie apone.