Tumechagua Makamu wa rais Mgonjwa

Tumechagua Makamu wa rais Mgonjwa

Yale yale check up za wenzenu zinafanyiwa majuu...huku waliowapigia kura (supposedly)hawajui hata maana ya check up.
 
Kwani hawaamini madaktari wa tanzania kama ni hivyo akachunguzwe na Dr Kikwete si ni juzi tu kalamba cheti male muhimbili.
 
makamu wetu wa rais ameondoka kwenda ulaya kwenda kufanyiwa check up ikiwa ni kama mwezi tu tokea apate madaraka hayo.

Inaelekea tumechagua makamu mgonjwa na sasa inakula kwetu.

Inasemekana ameelekea uingereza.

Habari ndio hiyo tujadili.

kaenda kupima uzito
 
Back
Top Bottom