Tumebarikiwa Ardhi Nzuri Sana

Tatizo Ardhi ya Tanzania inadamu nyingi sana inayolia bila hatia.

Dr Mvungi

Alphonce Mawazo

Azori

Ben sa 8

Aquilina.

Mtikila

Na wengine wengi!

Lazma Yule jamaa atubu
 
Tatizo Ardhi ya Tanzania inadamu nyingi sana inayolia bila hatia.

Dr Mvungi

Alphonce Mawazo

Azori

Ben sa 8

Aquilina.

Mtikila

Na wengine wengi!

Lazma Yule jamaa atubu
Yaani kwa mawazo yako haya utakuwa masikini maisha yako yote
 
Tanzania ina ardhi nzuri..Tuki itumia ipasavyo umaskini utapungua kwa kiasi kikubwa
 
Tatizo liserikali ni lijinga!! Watu wanalima kwa gharama halafu lenyewe linakuja kuwapangia wauze wapi? Unafikri labda lenyewe litanunua mazao ya wakulima kwa bei ya kuridhisha holaaaa!!
 
Tanga pako vizuri sana...

Tushawahi kufanya utalii wa ndani tukafika Handeni, korogwe hapo, Lushoto na mpaka muheza...


Cc: mahondaw
 
Tanga pako vizuri sana...

Tushawahi kufanya utalii wa ndani tukafika Handeni, korogwe hapo, Lushoto na mpaka muheza...


Cc: mahondaw

pako fresh sana, shida ni moja tu, ila ya epukika, pesa mkuu, inakatika kama maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…