Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Pasua kichwaHakuna shida.Hakuna tabu.Ndoho shiidaa.Ndoho taabu maami!Ndoho gogolo.Sawasawa.
Tutanyanduana na kila aliye mbele yetu,ila sijui kwenda kuoa hapanaKama hamtaki kuoa acheni kutafuna wake za watu. Tutaendelea kuwalawiti mpaka mjua thamani ya mke wa mtu
Hata,si pasua kichwa.Muwe wa kweli tu.Mna changamoto zenu mzifichazo kwa kujibanza kukataa ndoa.Pasua kichwa
Wanaopiga kelele ni wasio na hizo ndoa. Kila wakati ni kuongelea usioe, usioe. Kila mtu akifanya mambo yake bila mahubiri wala sidhani kama kuna shida.Muafaka
Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu.
Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua.
Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa nyingi.
Niseme Dunia imebadilika sana,hatuko na muda wa kumpa nafasi huyo anayeolewa awe na kisauti cha juu over.
Kwa nini mke wako wa ndoa atafunwe?Kama hamtaki kuoa acheni kutafuna wake za watu. Tutaendelea kuwalawiti mpaka mjua thamani ya mke wa mtu
Hakuna kiumbe asie na changamoto ila changamoto za kwenye ndoa zina epukika, nizakujitakia mno.Hata,si pasua kichwa.Muwe wa kweli tu.Mna changamoto zenu mzifichazo kwa kujibanza kukataa ndoa.
Afu siyo Lazima watangaze,yakiwashinda wapambaneZa kuambiwa changanya na za kwako...
Ata mtaani majitu ya kishafunga ndoa tu siku yakwanza anaanza kushawishi wenzake wafunge , moto mliuanzisha wenyewe.Wanaopiga kelele ni wasio na hizo ndoa. Kila wakati ni kuongelea usioe, usioe. Kila mtu akifanya mambo yake bila mahubiri wala sidhani kama kuna shida.
Hakika...Afu siyo Lazima watangaze,yakiwashinda wapambane
Wenye ndoa wamejaza nyuzi za kulalamikia wanawake kwenye jukwaa la mapenz wametusanua mkuu.Afu siyo Lazima watangaze,yakiwashinda wapambane
Mtaani kwako ndo walikuanzishia huo moto.Ata mtaani majitu ya kishafunga ndoa tu siku yakwanza anaanza kushawishi wenzake wafunge , moto mliuanzisha wenyewe.
Kazini vikwazo vipo lakini hatujawahi kuacha Kaz nakama umeacha bas ni kama ndoa kuvumilia au kusepaWenye ndoa wamejaza nyuzi za kulalamikia wanawake kwenye jukwaa la mapenz wametusanua mkuu.
Tuliza mihemko , ewe wakala wa ndoa .Mtaani kwako ndo walikuanzishia huo moto.