Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Jinai na jinai tu bila kujali imefanywa na nani maana hakuna alie juu ya sheria.
Kwa msingi huo,kama tumeamua kuadhibu watumishi hawa zaidi ya 9000 kwa kosa la kutumia vyeti feki,ni kwanini mafisadi wa EPA, RICHMOND ,KAGODA,MEREMETA,KIVUKO KIBOVU,n.k nao wasiwajibishwe japo kwa kutakiwa kurudisha fedha wanazotuhumiwa kutuibia kupitia miradi/makampuni hayo niliyoyataja?
Kama kuna wahalifu waliotafuna nchi hii,basi sidhani kama kuna zaidi ya hao na si ajabu hasara iliyotokana na ufisadi wa kampuni moja tu kati ya hayo inazidi hasara yote iliyosababishwa na watumishi hewa pamoja na wenye vyeti feki.
Mambo mengine hata Mungu hapendi!