Tumeamka nazo

Tumeamka nazo

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Yaani ni mwendo wa kukata pombe na kuzimua
Ikwiriri mojaaaa hiyooo


mshana
@Manengelo

Ova


20200307_095952.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe au alkasusu?

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Hiyo chai ilikuaje ikakosa kitafunwa..?
 
irish coffee cocktail ya pombe kali na kahawa

ukinywa ulali japo umelewa, ila inaongeza hasira sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyuma ya kituo cha polis tu Ikwiriri
Hpa, kna mzee mmja ustz alivamia kijiwee
Alijuaaa kahawa tu tunakunywa ila alichokutana nacho katokaaa ndki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Astafulhhh nying

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka Bungu niko Njopeka hapa, baadae nitakuwa mkiu Ila naweza kulala kimanzichana

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimetoka Bungu niko Njopeka hapa, baadae nitakuwa mkiu Ila naweza kulala kimanzichana

Jr[emoji769]
Jamaa unazunguka sana kwenye shuhuli zako za urogaji na uponyaji wa miti shamba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimetoka Bungu niko Njopeka hapa, baadae nitakuwa mkiu Ila naweza kulala kimanzichana

Jr[emoji769]
Bdy ntakuwa mwalusembe
Kwa nyuma tunafanya yetu
Ttz hku mamwiny wng
Ila mm huwa nawanzishiaa
Tu kwnn mtu akupangie uishii vp[emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom